[emoji848][emoji848][emoji848] thoughtful....!!!!Amani yetu muhimu wakeleketwa pigeni kampeni zenu ila msiingie barabarani. Nataka kuona familia yangu yote tunakula Christmas pamoja kwa amani.
SawaMungu amasikia[emoji7][emoji120]
Naomba tukutane na Mimi ili nikushawishi pia nawe ukachague hakiMimi kila ninapopita napita na John Pombe Magufuli.
Nimeongea na watu6 leo 5 wanaume mmoja mwanamama mwenzangu.
Wale wanaume kulikua na kijana wa kama miaka25 akaniambia dada hakuna mtu mwenye akili timamu atamnyima kura Magufuli
Mwanaume mwingine wa kama miaka 45 akaniambia mdogo wangu wote hao wanaopiga kelele ni wanasiasa wachumia tumbo. Wafanye siasa tuu ila kura ni kwa Magufuli
Baada ya hapo tukaulizana kuhusu vikatio wakasema viko powaaa nikajiondokea
Wanaomuunga jpm mkono wengi wako mtaani na wameshafanya maamuzi
|
|
Wakizingua bora tufe tu. Tufike mahali tuchoshwe na nchi ya miyeyusho!Ingieni kazini ila msiingie barabarani, uzuri hua ni keyboard warrior
Yan tangu Jana machozi yananitoka, naamini Tundu Lissu anashinda sasa je watamtangaza?
Yan sijui matokeo yakitoka nitakuwa katika hali gani jamani Naomba mniombee
Kwa utolopo huu uliandika bila shaka yoyote wewe utakuwa ni mzee wa Likwidi tu!Yaani tuandamane kwa ajili ya mtu anayeishi ubeligiji [emoji3][emoji3]
Tena ameshakata tiketi ya kurudi ubeligiji
Familia yake ameificha, mimi nikavunjwe mguu kwa kumpigania mtu aliyeshindwa Uchaguzi anatoa matusi
kubwa jinga.... wapi kasema uandamane, hapa watu wenye akili wanaongelea kura, mtoto wa mama unaongelea kuandamana
Amani yetu muhimu wakeleketwa pigeni kampeni zenu ila msiingie barabarani. Nataka kuona familia yangu yote tunakula Christmas pamoja kwa amani.
Nitakuita tunywe bia ya ushindi wa Lissu baada ya uchaguziYaani tuandamane kwa ajili ya mtu anayeishi ubeligiji [emoji3][emoji3]
Tena ameshakata tiketi ya kurudi ubeligiji
Familia yake ameificha, mimi nikavunjwe mguu kwa kumpigania mtu aliyeshindwa Uchaguzi anatoa matusi
Mimi kila ninapopita napita na John Pombe Magufuli.
Nimeongea na watu6 leo 5 wanaume mmoja mwanamama mwenzangu.
Wale wanaume kulikua na kijana wa kama miaka25 akaniambia dada hakuna mtu mwenye akili timamu atamnyima kura Magufuli
Mwanaume mwingine wa kama miaka 45 akaniambia mdogo wangu wote hao wanaopiga kelele ni wanasiasa wachumia tumbo. Wafanye siasa tuu ila kura ni kwa Magufuli
Baada ya hapo tukaulizana kuhusu vikatio wakasema viko powaaa nikajiondokea
Wanaomuunga jpm mkono wengi wako mtaani na wameshafanya maamuzi
Sawa mkuu. Unaweza kinishawishi kwamba nilipo hakuna haki na nikagundua niliyokua siyajui nalo ni jambo jemaNaomba tukutane na Mimi ili nikushawishi pia nawe ukachague haki
Mkuu utakuwa umedukua mawazo yangu!! lakini sio mbaya ukidukua kwa nia nzuri na matumizi mema!! Mimi Niko mbeya kata ya kolobe! Sasahivi nimetoka dukani kuwaelimisha watu!! nilikuta wateja wawili na bwana duka, waongea kuwa" Safari hii wapinzani hawatapata hata wabunge kumi" nilikuwa pembeni nikisubiri wahudumiwe ili na Mimi nihudumiwe!
Nilipoona wanazunguza hivyo, nilijitosa ktk mazungumuzo! nakuanza kuwaelimisha!! Nashukuru Mungu aliongezeka nakijana mmoja!! wote wamenielewa! na wameahidi kura kwa kamanda Lisu!!!
Kwenye Lissu weka magufuliMashabiki wa lissu wanatia huruma
Wengi wamekata tamaa ya maisha