Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuko pamoja mzee wangu,naondoka Heathrow usiku wa leo kuja nchini.CCM...
Imani ni suala la mtu binafsi na katiba ya Tanzania inalinda haki hii.
Hakuna wa kukubughudhi kwa kutoamini dini.
Mwenye kuamini dini sheria inamkataza kumbagua au kumbughudhi asiye na dini na halikadhalika asiye na dini asimbague au kumbughudhi mwenye dini.
Hili liko wazi.
Ndiyo maana CCM ina wanachama hadi Singasinga lau ni wachache sana nchini.
Huyu kiande tuMbona umemsahau GENTAMYCINE
CCM...Tuko pamoja mzee wangu,naondoka Heathrow usiku wa leo kuja nchini.
Mimi nimetumia terminal three mara ya kuingia na hii nayotoka,Finnair hakika ni raha sana,nchi za watu wamezijenga.CCM...
Usinikumbushe Heathrow.
Terminal 4.
1991 mara yangu ya kwanza kutia mguu Uingereza nikitokea Cairo na Egypt Air.
Passport Control wameangalia passport yangu imejaa mihuri: Kenya, Msumbiji, Swaziland, Ethiopia, Sudan, Misri naingia na kutoka.
Yakaanza maswali nimefuata nini Uingereza...
Nikashukiwa Mzungu wa Unga.
Nikawekwa pembeni kwa mahojiano na uchunguzi zaidi...
CCM...Mimi nimetumia terminal three mara ya kuingia na hii nayotoka,Finnair hakika ni raha sana,nchi za watu wamezijenga.
Sahivi visa ni mtihani,ila ghafla tu nimetamani kuwa nyumbani,lkn nafikiria nikiweka mambo sawa ntarudi tena.CCM...
Hiyo ni dunia nyingine..
Baada ya mkasa ule ilikuwa July, kufika September nimerudi tena niko Heathrow.
"Wewe ushakuja hapa mwezi July," Immigration hao wananiambia.
"Naam nilikuja July."
"Ehe umerudi tena."
"Naam nimerudi tena," nikajibu.
Miaka ile tunaingia Uingereza bila visa.
Matongee,
Hapo chini nimeweka video inayoeleza historia ya kuandika historia ya TANU.
View: https://youtu.be/bgiP_SI0-vI
CCM...Sahivi visa ni mtihani,ila ghafla tu nimetamani kuwa nyumbani,lkn nafikiria nikiweka mambo sawa ntarudi tena.
Hongera sana Mzee,umeanza kusafiri siku nyingi,nami ngoja niendelee kujifunza,hii ni safari ya kwanza.CCM...
In Shaa Allah.
Baada ya hiyo nikarudi tena Uingereza nikitokea Le Havre, Ufaransa.
Hii ilikuwa sasa 1993.
Hata mimi nimejiuliza Babu why GENTA hayupoMbona umemsahau GENTAMYCINE
CCM....Hongera sana Mzee,umeanza kusafiri siku nyingi,nami ngoja niendelee kujifunza,hii ni safari ya kwanza.
AminCCM....
Mwenyezi Mungu akufungulie dunia.
Amin.
Leo nafungua JF ndiyo nakutana na hili, Nimebanwa kidogo, lakini nadhani panapo majaliwa ya MUNGU tutawasiliana baadaye.Wengi wanaweza wasikutukane lakini wapo rigid kwa vitu wanavyoviamini, ila kwa mtu mwenye nondo za kutosha lakini pia yupo open kujifunza kwa wengine, MALCOM LUMUMBA is one of the best
Ni yeye huyu, huyu ni Lucas Mwashambwa ameshiba mbatata za Uporoto.
Usijali brother 🙏🏽Leo nafungua JF ndiyo nakutana na hili, Nimebanwa kidogo, lakini nadhani panapo majaliwa ya MUNGU tutawasiliana baadaye.