WanaJF wafuatao wanastahili tuzo ya uvumilivu kwa kutoyumbishwa na mashambulizi kila wanapopost nyuzi zao

WanaJF wafuatao wanastahili tuzo ya uvumilivu kwa kutoyumbishwa na mashambulizi kila wanapopost nyuzi zao

ERYTHROCYTE ni noma, uzuri wake huwa hatukani matusi, yeye anasimamia kila anachokiamini.
 
Ndugu yetu DeepPond pamoja na kusumbuliwa na mchepuko wake( Mama J) bado jamaa anakomaa tu.

Deep anastahili tuzo kwa Kweli 😂
 
CCM...
Imani ni suala la mtu binafsi na katiba ya Tanzania inalinda haki hii.

Hakuna wa kukubughudhi kwa kutoamini dini.

Mwenye kuamini dini sheria inamkataza kumbagua au kumbughudhi asiye na dini na halikadhalika asiye na dini asimbague au kumbughudhi mwenye dini.

Hili liko wazi.

Ndiyo maana CCM ina wanachama hadi Singasinga lau ni wachache sana nchini.
Tuko pamoja mzee wangu,naondoka Heathrow usiku wa leo kuja nchini.
 
Tuko pamoja mzee wangu,naondoka Heathrow usiku wa leo kuja nchini.
CCM...
Usinikumbushe Heathrow.
Terminal 4.

1991 mara yangu ya kwanza kutia mguu Uingereza nikitokea Cairo na Egypt Air.

Passport Control wameangalia passport yangu imejaa mihuri: Kenya, Msumbiji, Swaziland, Ethiopia, Sudan, Misri naingia na kutoka.

Yakaanza maswali nimefuata nini Uingereza...

Nikashukiwa Mzungu wa Unga.

Nikawekwa pembeni kwa mahojiano na uchunguzi zaidi...
 
Mimi nimetumia terminal three mara ya kuingia na hii nayotoka,Finnair hakika ni raha sana,nchi za watu wamezijenga.
 
Mimi nimetumia terminal three mara ya kuingia na hii nayotoka,Finnair hakika ni raha sana,nchi za watu wamezijenga.
CCM...
Hiyo ni dunia nyingine..

Baada ya mkasa ule ilikuwa July, kufika September nimerudi tena niko Heathrow.

"Wewe ushakuja hapa mwezi July," Immigration hao wananiambia.

"Naam nilikuja July."
"Ehe umerudi tena."

"Naam nimerudi tena," nikajibu.

Miaka ile tunaingia Uingereza bila visa.
 
Sahivi visa ni mtihani,ila ghafla tu nimetamani kuwa nyumbani,lkn nafikiria nikiweka mambo sawa ntarudi tena.
 
Sahivi visa ni mtihani,ila ghafla tu nimetamani kuwa nyumbani,lkn nafikiria nikiweka mambo sawa ntarudi tena.
CCM...
In Shaa Allah.

Baada ya hiyo nikarudi tena Uingereza nikitokea Le Havre, Ufaransa.

Hii ilikuwa sasa 1993.
 
CCM...
In Shaa Allah.

Baada ya hiyo nikarudi tena Uingereza nikitokea Le Havre, Ufaransa.

Hii ilikuwa sasa 1993.
Hongera sana Mzee,umeanza kusafiri siku nyingi,nami ngoja niendelee kujifunza,hii ni safari ya kwanza.
 
Wengi wanaweza wasikutukane lakini wapo rigid kwa vitu wanavyoviamini, ila kwa mtu mwenye nondo za kutosha lakini pia yupo open kujifunza kwa wengine, MALCOM LUMUMBA is one of the best
Leo nafungua JF ndiyo nakutana na hili, Nimebanwa kidogo, lakini nadhani panapo majaliwa ya MUNGU tutawasiliana baadaye.
 
Back
Top Bottom