masara
JF-Expert Member
- Jul 20, 2016
- 1,738
- 2,282
Nipo hapa msibani kwa johakimu mda huu..niambie uko wapi?Wapi hiyo me niko mchafukoga hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipo hapa msibani kwa johakimu mda huu..niambie uko wapi?Wapi hiyo me niko mchafukoga hapa
Nipo nganzaKaribu, upo pande gan! Mm nipo nyegezi kona hapa.
Uwanjani kwa juu hapa kwamama jose mama lisheKwa duka LA george au kwenye grocery ya Silimilwa?(mkinga)
Long wenyeji tulipaita Carlfonia au Fonia.......Nipo Mabatini
Kwa mama José nimepakosa labda unipm jina lako maarufu hapk ili Nikuulizie direct..Uwanjani kwa juu hapa kwamama jose mama lishe
Mada nyingine kama hizi uwa ni mtego kabisa, unajimwaga mpaka bar unayopata kinywaji!! Kazi kwenu
Tujue wala NgadaTufahamiane ili iweje sasa?[emoji83] [emoji83] [emoji83]
Wengine tunakula nguda, sasa masuala la Ngada mtajuana wenyewe!.Tujue wala Ngada
Msalimie Machota, njoo tukutane hapa kwa matiku au Facebook pub kwa kafiti karibu na kwao chale taifaNyakato Mecco
MwabasabiGeita wapi?
Njoo nyankumbuNipo Geita,
Mbaya zaidi akawa ni dingi ako.alafu umeshamkoromea sana humu.Nilichogundua kwa post hii, unaweza ishi nyumba moja na mwana jf lakini usimjue. Btw mie nipo Magu.