WanaJF wengi wanaandika maoni yao kwa kuangalia “reply” za mwanzoni ? No critical thinking

Vyama vimetumaliza fikra,tunadharauliana na kutukanana lkn ni kweli tunapaswa kuhusisha critical thinking
 
Umekuwa mwalimu mzuri siku mbili hizi, naona unarekebisha ung'eng'e wa wadau, ufanye kwenye kiswahili pia mkuu👊
Nimempa compliment zake na Nika m-follow kabisa 😅
 
Mwisho wa dunia unakaribia unavyopenda kula kula hivi una uwezo wa kushinda bila kula hata masala sita tu ? 🤣🤣🤣
We Manyanza utakuwa mchawi umejuaje km napenda kula kula 🤣🤣🤣🤣
Unavyoongea hapa nna chocolate ya dairy milk 😋😋
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…