RUSTEM PASHA
JF-Expert Member
- Jan 26, 2016
- 4,707
- 11,365
Mkuu niseme mimi tu, tafadhari muache jirani yangu. Mleta mada haitakiwi kuchukulia baadhi ya mambo siriously, watu wengi humu ndani ni fake kuanzia maisha yao mpaka majina wanayotumia na thread zao wengi niza uongo uongo afadhari jirani yangu Lamomy anatumia jina halisi 😅.Lamomy na RUSTEM PASHA naona mnazidi kumkwaza aliyeanzisha huu Uzi. Hebu nendeni chitchat huko mnatukera mjue, masuala ya KukuKuku,MlimaniCity na SamakiSamaki ya Nini humu ? Mnaonekana malimbukeni na mazuzu tu. 😂😂😂😂
Mengini nikama jeshini ,unafanyiwa kitu ambacho Kila mtu anajua unakereka lkn unakua huna chakumfanya mtu, nahilo ndio somo la uvumilivu. Kwahio ukishindwa stahimili watu usio wajua wa humu ndani wa huko mtaani kwako wakikukera itakuaje?. Hii mada ya mleta mada pia haiko siriously, akitaka mambo siriously alete mambo magumu tujadili.