DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Wakishaanza wale wapenzi wa JF unakuta mara shosti njoo, mara baby soma hapa. Alafu wakaanza reply zisizoisha na emoji hapo najua mada imeisha uchangiaji hamna tena. Ukute ni mada mtu anaumwa anauliza dawa, kenge zinakuja kutongozana humo
Wanazingua Sana hasa wanawake