WanaJF wengi wanaandika maoni yao kwa kuangalia “reply” za mwanzoni ? No critical thinking

Jirani mi nalog in nikiwa bar mwenzio ndiomana natype ninachojisikia na sipo kumfanya mwingine ajisikie vile yy anataka kusikia 🤣🤣🤣🤣
Sema kwenye kuku umeua, ulijuaje km napenda kwiyoo 😋😋😋
Jirani unakunywa?. 😅 Mie sinywi lkn kilevi changu nikiuangalia mpira na kupiga masikio ya chini😅😅.

Jirani kama unapenda kwio tukutane Kwa Kuku. Au nikuletee zawadi upike Pasaka,nafuga kuku Tanga, saivi wamefika 1400, kwahio nikuletee 2 upike Pasaka.

Jirani lkn ukipika lazima unialike Tena tuwale wote.😅😅
 
Watu wanajinasibu kua critical thinkers lakini si kweli, wengi ni bendera kufata upepo,

Kwanini mtu anapoona andiko asilifikirie kisha akaandika kile anachokiona? Badala yake anaandika kutokana na mkumbo wa reply za mwanzo?

Mada pekee utaona watu wanatifautiana regardless ya comments za mwanzoni ni zile za dini, simba na yanga au ccm na chadema. Nadhani hizi zinakua rahisi kwakua tayari zimeshawagawa watu katika makundi.

Mwengine anaweza asitilie manani mada au jambo kwa kuangalia “first replies”

Unaweza kuta hata hii maya hapa itachangiwa kwa kuangalia reply za mwanzoni zimeandika nini.

This is sick culture. Engage your senses.
Ulijuaje?
 
Km kuku anatoka tanga jirani basi ahsante 🤣🤣🤣
 
Huyo ni wapasaka, lkn kama kawaida jirani kijiwe chetu Kiko pale pale pemben ya SAMAKI-SAMKI MLIMANI CITY.

Au tukale ftari ya Hyatt 😅, lkn pale ftari ni elfu 80 tu Kwa mtu mmoja, unakula ftari Yako ukimaliza waaondoka. Lkn Kwa wewe mkinga sijui , unaweza kuomba hio elfu 80 ununue viazi upike mwenyewe.😅😅😅
 
Pesa sio ya kuchezea hiyo 80 hapana aiseee!! 🤣🤣🤣🤣
 
Watu wanajinasibu kua critical thinkers lakini si kweli, wengi ni bendera kufata upepo,

Kwanini mtu anapoona andiko asilifikirie kisha akaandika kile anachokiona? Badala yake anaandika kutokana na mkumbo wa reply za mwanzo?

Mada pekee utaona watu wanatifautiana regardless ya comments za mwanzoni ni zile za dini, simba na yanga au ccm na chadema. Nadhani hizi zinakua rahisi kwakua tayari zimeshawagawa watu katika makundi.

Mwengine anaweza asitilie manani mada au jambo kwa kuangalia “first replies”

Unaweza kuta hata hii maya hapa itachangiwa kwa kuangalia reply za mwanzoni zimeandika nini.

This is sick culture. Engage your senses.
huku ni mazuzu ukiandika kunya ndo wengi wanajaaa!! watu milion 63 wenye akili ao watatu wa mwisho😂😂😂

Jiunge na QUORA Utaona tofauti
 
Back
Top Bottom