RUSTEM PASHA
JF-Expert Member
- Jan 26, 2016
- 4,707
- 11,365
Jirani unakunywa?. 😅 Mie sinywi lkn kilevi changu nikiuangalia mpira na kupiga masikio ya chini😅😅.Jirani mi nalog in nikiwa bar mwenzio ndiomana natype ninachojisikia na sipo kumfanya mwingine ajisikie vile yy anataka kusikia 🤣🤣🤣🤣
Sema kwenye kuku umeua, ulijuaje km napenda kwiyoo 😋😋😋
Jirani kama unapenda kwio tukutane Kwa Kuku. Au nikuletee zawadi upike Pasaka,nafuga kuku Tanga, saivi wamefika 1400, kwahio nikuletee 2 upike Pasaka.
Jirani lkn ukipika lazima unialike Tena tuwale wote.😅😅