Wanakumbuka VIZURI agizo la Mungu kwamba mwanaume atakula kwa jasho ila wanapinga na hawataki agizo kua mwanamke atakua chini ya mwanaume.

The unpaid Seller

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2019
Posts
2,113
Reaction score
6,251
Hua nikiwatafakari akili za wanawake najiuliza aidha ni wanafiki au wajinga sana au vyote basi nakosa jibu.

Wanakumbuka agizo la Mungu kwamba mwanaume atakula kwa jasho (Mwanzo:2) na kwamaana hyo ni jukumu la mwanaume kutafuta na wanashupalia andiko hilo mpaka mishipa inawatoka ila wanajisahaulisha na hawataki kabisa agizo la kua mwanamke atakua chini ya mwanaume, wanakwambia hili limepitwa na wakati sasa hivi ni sawa kwa sawa.

Ukiwauliza kama agizo la wao kua chini ya wanaume limepitwa na wakati basi na agizo la wao kuhudumiwa na wanaume limepitwa na wakati basi wajihudumie wenyewe na maisha yao hawatakubaliana na wewe wanataka wahudumiwe kama agizo la Mungu, jambo ambalo toka enzi wanaume tumekua tukitekeleza agizo hilo ila wao hawakotayari kutekeleza agizo kwao.

Yani kuliweka bayana wanataka usawa lakini hapo hapo wanataka na special treatment. Wa manaume lege lege wanaendeshwa sana na hawa wanawake wa kileo. Haaa haa ha

Japo sio wote (mke wangu hana mtazamo huu wa haki sawa bla bla)
Ila wanawake wengi wanaibukia na mtazamo wa haki sawa na vuguvugu la feminism ukikutana na mianamke yenye hulka hii ni toxic balaa, ni kama umekutana na mashetani mwenyewe.

Mungu mwenyewe mwenye utashi wmete aliamua kuumba mmoja akiwa na utawala juu ya mwingine Adam na Eva kwanini hakuumba Adam na Juma !?

Mwanaume omba Mungu akuepushe na chukua hatua za maksudi kujiepusha na wanawake mafemists maauna hizi harakati zimetufikia huku na hawa kina Chausiku ndio wamelipuka na uanaharakati.

Screenshot_20220408-142809_Quora.jpg

Mungu akujalie kupata mke anaekubali nafasi yake kama mwanamke na wewe mwanaume mwenzangu usizingue mtunze, mlinde, mhudumie na MPENDE kwa pendo kuu maana hivyo ndio haki.
Screenshot_20220307-204104_Gallery.jpg
 
Topic discussed by every generation of people

Nothing new!

Tutaongea hapa
Tutapita
Wengine watakuja
Watadiscuss same issues

Usisahau kuwa Mbinafsi kama wao unapointeract nao [emoji1377]
 
Sure, ila KUWAKUMBUSHA vijana wetu ni muhimu kila kukicha maana, HATA WANAHAKATI wanasambaza sumu kila uchwao.
 
Mfumo dume ndio mfumo pendwa tulioagizwa na muumba wetu.

[emoji117]Mwanaume atakula kwa jasho,
sio ukamfanye mkeo mtafutaji kwa kisingizio Cha maisha yamebadilika au Hofu za nikifa familia nitaiachaje.

Wanaume tutekeleze wajibu na majukumu yetu, Tuhudumie wenzi wetu.

Kwenye mahusiano,
Mwanaume anayehudumia 100% ndie mwenye sauti, Ukiona unawekewa masharti ujue Kuna mahali umeteleza ktk utekelezaji wa majukumu yako Kama mwanaume,KICHWA na nguzo ya Familia.
 
Mwanamke anaetaka 50 kwa 50 anakwenda kinyume na maagizo ya Mungu. Mwanamke ni sehemu "tu" ya mwili wa mwanaume, hiyo nusu kwa nusu inatoka wapi? Hata uumbaji Mungu alianza na mwanaume.
 
No new... Yale yale tu

Watasikia watakapoamua wenyewe.
 
Hua nikiwatafakari akili za wanawake najiuliza aidha ni wanafiki au wajinga sana au vyote basi nakosa jibu.

Wanakumbuka agizo la Mungu kwamba mwanaume atakula kwa jasho (Mwanzo:2) na kwamaana hyo ni jukumu la mwanaume kutafuta na wanashupalia andiko hilo mpaka mishipa inawatoka ila wanajisahaulisha na hawataki kabisa agizo la kua mwanamke atakua chini ya mwanaume, wanakwambia hili limepitwa na wakati sasa hivi ni sawa kwa sawa.

Ukiwauliza kama agizo la wao kua chini ya wanaume limepitwa na wakati basi na agizo la wao kuhudumiwa na wanaume limepitwa na wakati basi wajihudumie wenyewe na maisha yao hawatakubaliana na wewe wanataka wahudumiwe kama agizo la Mungu, jambo ambalo toka enzi wanaume tumekua tukitekeleza agizo hilo ila wao hawakotayari kutekeleza agizo kwao.

Yani kuliweka bayana wanataka usawa lakini hapo hapo wanataka na special treatment. Wa manaume lege lege wanaendeshwa sana na hawa wanawake wa kileo. Haaa haa ha

Japo sio wote (mke wangu hana mtazamo huu wa haki sawa bla bla)
Ila wanawake wengi wanaibukia na mtazamo wa haki sawa na vuguvugu la feminism ukikutana na mianamke yenye hulka hii ni toxic balaa, ni kama umekutana na mashetani mwenyewe.

Mwanaume omba Mungu akuepushe na chukua hatua za maksudi kujiepusha na wanawake mafemists maauna hizi harakati zimetufikia huku na hawa kina Chausiku ndio wamelipuka na uanaharakati.

View attachment 2180634
Mungu akujalie kupata mke anaekubali nafasi yake kama mwanamke na wewe mwanaume mwenzangu usizingue mtunze, mlinde, mhudumie na MPENDE kwa pendo kuu maana hivyo ndio haki.
View attachment 2180635
Dunia imegawanyika vipande vipande
 
Heshima ni pesa, shikamoo ni kelele tu.
Mwanaume akaze mwili tu alee familia yake ahakikishe mahitaji yote wanapata. Wachana na biashara ya kuhangaishana na wanawake, kamwe hautakaa uwaelewe. Fanya majukumu yako uwe na amani moyoni.
Hakyanani vile ndo maana hua nasema kungekua na specie nyingine ambayo wanaume tunaeza kuchakata, im sure wachache sana wangeoa
 
Mfumo dume ndio mfumo pendwa tulioagizwa na muumba wetu.

[emoji117]Mwanaume atakula kwa jasho,
sio ukamfanye mkeo mtafutaji kwa kisingizio Cha maisha yamebadilika au Hofu za nikifa familia nitaiachaje.

Wanaume tutekeleze wajibu na majukumu yetu, Tuhudumie wenzi wetu.

Kwenye mahusiano,
Mwanaume anayehudumia 100% ndie mwenye sauti, Ukiona unawekewa masharti ujue Kuna mahali umeteleza ktk utekelezaji wa majukumu yako Kama mwanaume,KICHWA na nguzo ya Familia.
Umelizungumza jambo hili kwa ufupi ila kwa ufasaha mkubwa. Ni kweli mfumo dume ndio salama ya jamii yoyote habari ya kusaidiana maisha ni kukaribisha mivutano isiyoisha.
 
Mwanamke anaetaka 50 kwa 50 anakwenda kinyume na maagizo ya Mungu. Mwanamke ni sehemu "tu" ya mwili wa mwanaume, hiyo nusu kwa nusu inatoka wapi? Hata uumbaji Mungu alianza na mwanaume.
Ndio hua nawashangaa sana wanawake wa kileo kudai haki sawa ili hali tumeumbwa tofauti na majukumu tofauti.
 
Back
Top Bottom