Wanambeya, mtakuwa wajinga kutomchagua tena Spika Tulia

Huo wadhifa unawasaidia kitu gani wana Mbeya?
 
Ni sahih kweli mbeya watapata San .maendeleo na barabara ya njia nne faster Ni muhimu hili wakalikumbuka

Hii ndio shida ya Tanzania, ukimchgua huyu utapata maendeleo na ukimchagua yule hupati maendeleo. Bado tuna safari ndefu.
 
sidhani kama watafanya makosa hayo, na sidhani kama inawezekana hata kidogo.
Mbeya ni waerevu sana, wanapenda Maendeleo.
Kumchagua Dr. Tulia ni kuchagua Maendeleo.
Kwa hiyo nyinyi akina Tlaatlaah ndiyo mumekuwa recruited na Tulia Trust kuja kumpigia debe humu.

Mwambieni hiyo kigagula mwenye sura ngumu kuwa asahau ubunge wa Mbeya. Na this time around Magufuli aliyempa hayupo
 
Kwa hiyo nyinyi aki a Tlaatlaah ndiyo mumekuwa recruited na Tulia Trust kuja kumpigia debe humu.

Mwambieni hiyo kigagula mwenye sura ngumu kuwa asahau ubunge wa Mbeya. Na this time around Magufuli aliyempa hayupo
kichinjio chenyewe huna 😜
Yule muMama kitaifa ni motroo kimataifa ndio usiseme,
Mbeya nikuchukua tu, na kuweka waaaaa.......kama ananawa vile huyo mjengoni..

Una far nchezo nn
 
Kwani safari hii mtashiriki? au mtaendelea na utoaji taarrifa tu...

Maana nimeskia puppet amesense defeate ameanza mazingeumbwe

Umemsikia Mzee Warioba alichosema?. Kasema katiba mpya ipatikane kabla ya 2025. Tatizo mnawaza kuiba kura na kuwafanya watanzania wajinga kuwa hawana Cha kufanya. Endeleeni tu
 
Umemsikia Mzee Warioba alichosema?. Kasema katiba mpya ipatikane kabla ya 2025. Tatizo mnawaza kuiba kura na kuwafanya watanzania wajinga kuwa hawana Cha kufanya. Endeleeni tu
sasa nisikilize,
Tena uniskilize vuzuri niekueleze vuzuri I can confirm to you without fear of contradiction,

Mzee wetu huyu ambae sote tuna muheshimu sana na tunampenda kwelikweli.
Mawazo na maoni yake mazuri sana yamesikika, na kwakweli hayo yataunganishwa na ya wananchi wengine mchakato wa katiba mpya utakapofufuliwa mapema 2026 mara baada tu ya uchaguzi mkuu.

Subra, ustahimilivu na ungwana ni jambo muhimu sana kwasasa wakati serikali ikianza maandalizi ya uchaguzi serikali za mitaa mwishoni mwa mwaka ujao 2024 na mwa unafuatia 2025 uchaguzi mkuu.

Hakuna muda wa kufanya kingine kwa sasa. Mambo yote haya muhimu sana kwa maslahi mapana ya Taifa, yanahutaji maandalizi kabambe, muda wa kutosha, mipango mizuri lakini zaidi sana fedha za kutosha.

Kupanga ni kuchagua,
Serikali imeona ni Busara kuanza na chaguzi kisha baada ya chaguzi ni Katiba mpya.

Salimia Sana Mzee Wariaba baba yetu wa Taifa.
 
Hata mama Mongella alikuwa Rais wa Bunge la Africa ila akapigwa Chini 2010 na Sylvester Machemli a Novice. Usipende kuongea ujinga.
Na kwa ujinga wako wewe unayeijua Inyala tu, Mwanza leo iko wapi.
Ninyi Mbeya hamshindani na hata Igoma, wajinga ninyi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…