johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mkuu wa mkoa wa Mbeya Chalamila na mbunge wa Chunya wamezuru kijiji cha Ifumba wilayani Chunya kupata taarifa za ugonjwa usiojulikana.
Wananchi wamesema ugonjwa huo ni kweli upo na umeshaua watu zaidi ya 30 na kwa sasa kuna wagonjwa 22 ambao wamelazwa na wengine wanaugulia majumbani.
Ndipo mbunge wa Chunya akamuomba RC Chalamila aingilie kati swala hilo kwani wapiga kura wake wanateketea.
RC Chalamila akatoa agizo kwa mganga wa wilaya kuhakikisha wagonjwa wote 22 wanapelekwa hospitali ya Rufaa Mbeya kwa uchunguzi zaidi na matibabu.
Chanzo: ITV habari
Maendeleo hayana vyama!