Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mganga mkuu ndio kaambiwa awapeleke wagonjwa Rufaa Mbeya.Yule mganga mkuu wa halmashauri aliyesimamishwa arejeshwe mara moja na Dr Gwajima atimuliwe .
Ndiyo tatizo la kiokota watu jaralaniSasa ule waraka unakuwaje? Kiukweli yule mama ni mkurupukaji mno na alimuoteshea kibarua majani daktari wa watu...kazi kujali kumfurahisha mwamfulani wkt watu wanateketea.... ITV sa itakuwaje..wataombwa radhi?
Ndio amekutana na chalamila sasa mzee wa mkangafu!Sasa yule mama waziri hata hajafika kuwaona wahanga kaja na maamuzi juu kwa juu ya kumsimamisha kazi DMO..
Huyu mama hayuko sawa hata kidogo kazi kufanya sinema tu...
inaleta taharuki, bora uende kimya kimya tuu
Tusiongelee possibilities kwenye uhai wa binadamu. Kama ni sumu au maji yaliyochaguliwa kuna maabara za kuchunguza hayo yote. Tusianze kupiga ramli kama wale wapiga manyanga.Hii ni posssibly food poison, au maji yaliyo chafuliwa (contaminated).
Wizara ni kubwa kwake huyo maza wamtoe....!Hongera zao ITV kwa kuendelea kukomaa. Yule mother Waziri hopeless kabisa
Sasa ule waraka unakuwaje? Kiukweli yule mama ni mkurupukaji mno na alimuoteshea kibarua majani daktari wa watu...kazi kujali kumfurahisha mwamfulani wkt watu wanateketea.... ITV sa itakuwaje..wataombwa radhi?
Ni vizuri sana ili wananchi wakome kuweka maiti madarakani!siasa imezidi utu siku hizi kila Sehem politics hata katika mambo senstive kama uhai
Acha kuwa mjinga!Na hili limezidi kuwa tatizo kwa watanzania wote. Yule Mama hafanyi vile kwa matakwa yake.Anafanya vile kumuwakilisha Magufuli. Ile siyo yule Mama ni Magufuli.Asipofanya vile hana kazi, hana tonge la kila siku! Mzizi wa tatizo ni Magufuli.Sasa ule waraka unakuwaje? Kiukweli yule mama ni mkurupukaji mno na alimuoteshea kibarua majani daktari wa watu...kazi kujali kumfurahisha mwamfulani wkt watu wanateketea.... ITV sa itakuwaje..wataombwa radhi?
Na huwezi kuacha kuweka pissibilities kwa aina ya dalili zinazotajwa, na pia inaonesha si ugonjwa unaoambukiza ndio maana kwa muda mrefu upo eneo hilohilo.Tusiongelee possibilities kwenye uhai wa binadamu. Kama ni sumu au maji yaliyochaguliwa kuna maabara za kuchunguza hayo yote. Tusianze kupiga ramli kama wale wapiga manyanga.
Sifa ya mafanikio ni zaidi ya chochote.Mabibi na mabwana kuna habari kuwa kwa habari hii serikali imekwazika:
View attachment 1697768
Nini makosa ya broadcaster kwenye hili?
Nini makosa ya watu kwenye sehemu ya tukio kuthibitisha mambo kama wanavyoyaona kama ilivyokuwa kwenye hili?
Ninawasilisha.
Possibility hiyo ni kubwa. Huko watu huwa wanachimba dhahabu. Maeneo ya dhahabu na kuchafua maji na kemikali ni vitu vya karibu sana.Hii ni posssibly food poison, au maji yaliyo chafuliwa (contaminated).