Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na huwezi kuacha kuweka pissibilities kwa aina ya dalili zinazotajwa, na pia inaonesha si ugonjwa unaoambukiza ndio maana kwa muda mrefu upo eneo hilohilo.
Sasa na hao Madaktari waliosomeshwa huko Chunya miaka yote hiyo hawakuafanya chochote kujua tatizo ni nini?...maana nawasikia hapa wanasema ni tatizo la muda mrefu.
Acha siasa za kizee dogo za awamu ya tano. Hii ni dunia ya technology ya habari, habariri zinasambazwa na watu wanajipanga namna ya kukubaliana na tatizo. Sio maneno ya kipuuzi sijui taharuki ili serikali isiwajibike kwa watu bali kwa vitu.Watu wamejikita kwenye kuleta taharuki!
Huyu na yule mama RC Singida Baba mmoja mama mmoja matumbo mbalimbali wanajua kukurupuka Bora mwenzia sasa katulia nadhani na yeye atatuliaSasa yule mama waziri hata hajafika kuwaona wahanga kaja na maamuzi juu kwa juu ya kumsimamisha kazi DMO..
Huyu mama hayuko sawa hata kidogo kazi kufanya sinema tu...
Yule mama ni mpuuzi kabisa. Kuna watu wamezaliwa na roho za mauaji.Sasa ule waraka unakuwaje? Kiukweli yule mama ni mkurupukaji mno na alimuoteshea kibarua majani daktari wa watu...kazi kujali kumfurahisha mwamfulani wkt watu wanateketea.... ITV sa itakuwaje..wataombwa radhi?
Watanzania sijui tumemkosea nini Mungu mpaka akaamua kumshusha ibilisi Zanzimana kupitia CCM .Kule kahama kwenyewe kuna homa ya nguruwe kweli huu mwaka Tanzania imelaaniwa rasmi;nahisi hii laana itakuwa imesababishwa na uporaji mkubwa wa kura uliofanywa na mafisiem
Huyu waziri wa afya anapenda sana umaarufu, sasa yeye kama waziri wa afya na mtaalamu wa hiyo kada kwanini hakutuma cabinet ikachunguze zaidi ya kumsimamisha kazi mganga mkuu wa wiraya? Anapenda sifa mpaka anaboaSasa ule waraka unakuwaje? Kiukweli yule mama ni mkurupukaji mno na alimuoteshea kibarua majani daktari wa watu...kazi kujali kumfurahisha mwamfulani wkt watu wanateketea.... ITV sa itakuwaje..wataombwa radhi?
Mimi nasema ni mpuuzi mara 100, alafu ni daktari mfyuuuYule mama ni mpuuzi kabisa. Kuna watu wamezaliwa na roho za mauaji...
Nilisema KWA vyovyote Kulikua ni kumtoa kafara DMO, wenda tahalifa zilikuepo but walikua wanaficha,Sasa ule waraka unakuwaje? Kiukweli yule mama ni mkurupukaji mno na alimuoteshea kibarua majani daktari wa watu...kazi kujali kumfurahisha mwamfulani wkt watu wanateketea.... ITV sa itakuwaje..wataombwa radhi?
Hii ni serikali isiyojari wananchi wake, Ila wacha waendelee kutujaza itafikia kipindi we will be fed up na hapo ndipo mabadiriko ya kweli yatakapokuja.Na kama ITV wasingetangaza hilo, ndio wananchi wangeendelea kufa hivyo hivyo. yehodaya ulisema sasa hivi serikali inawajibika sana mpaka vyombo vya habari havina cha kureport. Nikakwambia hakuna uwajibikaji wowote wa maana bali vyombo vya habari vinatishiwa kutangaza matatizo. ITV kwa kureport hilo jambo wametishiwa kuchukuliwa hatua, lakini ukweli umeendelea kutamalaki. Kama ni tatizo la muda mrefu mbona halikufanyiwa kazi mpaka ITV wamalitangaza?
Kwahiyo ile hukumu ya kusimamishwa imetenguliwa? hivi RC na Waziri nani mkubwa?Mganga mkuu ndio kaambiwa awapeleke wagonjwa Rufaa Mbeya.
RC Chalamila ndio mwakilishi wa Rais mkoani Mbeya, huyo Gwajima ni mpita njia tu!
Matunda ya ushindi wa kishindo hivyo wote tuliokuwa na mchango katika ushindi wa kishindo tuwe wapole.Huyu waziri wa afya anapenda sana umaarufu, sasa yeye kama waziri wa afya na mtaalamu wa hiyo kada kwanini hakutuma cabinet ikachunguze zaidi ya kumsimamisha kazi mganga mkuu wa wiraya? Anapenda sifa mpaka anaboa
RC amekurupuka kusema wasafirishwe
Wanatakiwa kuwapa huduma apo apo
Kama ni mlipuko usisambae
Lakini tume ya waziri imeenda angalia MTUHA kitabu ambacho hakijazwagi OPD
Sasa KILA mtu apambane na hali yake
Homa ya nguruwe ipo siku nyingiKule kahama kwenyewe kuna homa ya nguruwe kweli huu mwaka Tanzania imelaaniwa rasmi;nahisi hii laana itakuwa imesababishwa na uporaji mkubwa wa kura uliofanywa na mafisiem