Wananchi Chunya wamwambia RC Chalamila wagonjwa wanaotapika damu wako 22, RC aagiza wapelekwe hospitali ya Rufaa

Wananchi Chunya wamwambia RC Chalamila wagonjwa wanaotapika damu wako 22, RC aagiza wapelekwe hospitali ya Rufaa

Na huwezi kuacha kuweka pissibilities kwa aina ya dalili zinazotajwa, na pia inaonesha si ugonjwa unaoambukiza ndio maana kwa muda mrefu upo eneo hilohilo.

Sasa na hao Madaktari waliosomeshwa huko Chunya miaka yote hiyo hawakuafanya chochote kujua tatizo ni nini?...maana nawasikia hapa wanasema ni tatizo la muda mrefu.

Na kama ITV wasingetangaza hilo, ndio wananchi wangeendelea kufa hivyo hivyo. yehodaya ulisema sasa hivi serikali inawajibika sana mpaka vyombo vya habari havina cha kureport.

Nikakwambia hakuna uwajibikaji wowote wa maana bali vyombo vya habari vinatishiwa kutangaza matatizo. ITV kwa kureport hilo jambo wametishiwa kuchukuliwa hatua, lakini ukweli umeendelea kutamalaki. Kama ni tatizo la muda mrefu mbona halikufanyiwa kazi mpaka ITV wamalitangaza?
 
Watu wamejikita kwenye kuleta taharuki!
Acha siasa za kizee dogo za awamu ya tano. Hii ni dunia ya technology ya habari, habariri zinasambazwa na watu wanajipanga namna ya kukubaliana na tatizo. Sio maneno ya kipuuzi sijui taharuki ili serikali isiwajibike kwa watu bali kwa vitu.
 
Sasa yule mama waziri hata hajafika kuwaona wahanga kaja na maamuzi juu kwa juu ya kumsimamisha kazi DMO..
Huyu mama hayuko sawa hata kidogo kazi kufanya sinema tu...
Huyu na yule mama RC Singida Baba mmoja mama mmoja matumbo mbalimbali wanajua kukurupuka Bora mwenzia sasa katulia nadhani na yeye atatulia
 
Sasa ule waraka unakuwaje? Kiukweli yule mama ni mkurupukaji mno na alimuoteshea kibarua majani daktari wa watu...kazi kujali kumfurahisha mwamfulani wkt watu wanateketea.... ITV sa itakuwaje..wataombwa radhi?
Yule mama ni mpuuzi kabisa. Kuna watu wamezaliwa na roho za mauaji.

Watu wanateketea, wanatoa taarifa, halafu wewe kwa upuuzitu eti Waziri ndiye pekee ana uwezo wa kusema. Wewe kuwa Waziri unaona umekuwa binadamu kuliko wengine?

Wananchi wana haki ya kuelezea yote yanayotolea kwa kadiri ya wanavyoshuhudia. Waziri hajazuiwa kutoa taarifa rasmi ya Serikali kuhusiana na maelezo ya wananchi. Awamu hii, sijui hawa watu wameokotwa wapi - wanataka kudhibiti fikra na maisha ya watu.
 
Sasa ule waraka unakuwaje? Kiukweli yule mama ni mkurupukaji mno na alimuoteshea kibarua majani daktari wa watu...kazi kujali kumfurahisha mwamfulani wkt watu wanateketea.... ITV sa itakuwaje..wataombwa radhi?
Huyu waziri wa afya anapenda sana umaarufu, sasa yeye kama waziri wa afya na mtaalamu wa hiyo kada kwanini hakutuma cabinet ikachunguze zaidi ya kumsimamisha kazi mganga mkuu wa wiraya? Anapenda sifa mpaka anaboa
 
Sasa ule waraka unakuwaje? Kiukweli yule mama ni mkurupukaji mno na alimuoteshea kibarua majani daktari wa watu...kazi kujali kumfurahisha mwamfulani wkt watu wanateketea.... ITV sa itakuwaje..wataombwa radhi?
Nilisema KWA vyovyote Kulikua ni kumtoa kafara DMO, wenda tahalifa zilikuepo but walikua wanaficha,
 
Na kama ITV wasingetangaza hilo, ndio wananchi wangeendelea kufa hivyo hivyo. yehodaya ulisema sasa hivi serikali inawajibika sana mpaka vyombo vya habari havina cha kureport. Nikakwambia hakuna uwajibikaji wowote wa maana bali vyombo vya habari vinatishiwa kutangaza matatizo. ITV kwa kureport hilo jambo wametishiwa kuchukuliwa hatua, lakini ukweli umeendelea kutamalaki. Kama ni tatizo la muda mrefu mbona halikufanyiwa kazi mpaka ITV wamalitangaza?
Hii ni serikali isiyojari wananchi wake, Ila wacha waendelee kutujaza itafikia kipindi we will be fed up na hapo ndipo mabadiriko ya kweli yatakapokuja.
Serikali gani inajari kukusanya Kodi tu hapo hapo haiwajari hao walipa kodi wake
 
Mganga mkuu ndio kaambiwa awapeleke wagonjwa Rufaa Mbeya.

RC Chalamila ndio mwakilishi wa Rais mkoani Mbeya, huyo Gwajima ni mpita njia tu!
Kwahiyo ile hukumu ya kusimamishwa imetenguliwa? hivi RC na Waziri nani mkubwa?

tujikumbushe

 
Huyu waziri wa afya anapenda sana umaarufu, sasa yeye kama waziri wa afya na mtaalamu wa hiyo kada kwanini hakutuma cabinet ikachunguze zaidi ya kumsimamisha kazi mganga mkuu wa wiraya? Anapenda sifa mpaka anaboa
Matunda ya ushindi wa kishindo hivyo wote tuliokuwa na mchango katika ushindi wa kishindo tuwe wapole.
 
Waziri anapofanya kazi kumridhisha boss haya ndo madhara yake. Nadhani kwa hili waziri anatakiwa awe kashajiudhuru hafai
 
RC amekurupuka kusema wasafirishwe

Wanatakiwa kuwapa huduma apo apo
Kama ni mlipuko usisambae

Lakini tume ya waziri imeenda angalia MTUHA kitabu ambacho hakijazwagi OPD

Sasa KILA mtu apambane na hali yake

ukimsikiliza diwani na pia ukimsikiliza makamu mwenyekiti wa almashauri anasema tatizo ni la muda mrefu....nadhani ni mgonjwa mmoja mmoja anajitokeza, so sio mripuko mkuu, bila shaka RC anatimu ya madaktari wamemshauri hivyo. I bet HILI TATIZO LINAHUSIANA NAPOMBE ZA KIENYEJI
 
Kule kahama kwenyewe kuna homa ya nguruwe kweli huu mwaka Tanzania imelaaniwa rasmi;nahisi hii laana itakuwa imesababishwa na uporaji mkubwa wa kura uliofanywa na mafisiem
Homa ya nguruwe ipo siku nyingi
 
Back
Top Bottom