Lady Whistledown
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 1,147
- 2,008
Mamia ya watu wameingia katika mitaa ya mji mkuu wa Kongo, Kinshasa, kulaani madai ya Rwanda kuwaunga mkono waasi wa M23. Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika aonesha wasiwasi mkubwa kutokana na mvutano kati ya Rwanda na DRC.
Mei 30, 2022, mwenyekiti wa Umoja wa Afrika, Rais wa Senegal Macky Sall, alifanya mazungumzo na viongozi wa Rwanda na Kongo kujaribu kupunguza mvutano ambapo pande zote mbili zinashutumu kila mmoja kwa kuunga mkono makundi ya waasi mashariki mwa DR Congo.
Mapema mwezi Mei 2022, wapiganaji wa M23 walianzisha mashambulizi na kuteka kambi ya jeshi la Kongo,Rumangabo ambapo serikali ya Kongo ilishutumu serikali ya Rais Paul Kagame kwa kuunga mkono waasi hao, tuhuma ambazo Rwanda ilikanusha.
===
Hundreds of people took to the streets of the Congolese capital, Kinshasa, to denounce Rwanda's alleged backing of the M23 rebel group.
The protests were organised by the civil society group, NDSCI.
On Monday, the chairman of the African Union, the Senegalese President Macky Sall, telephoned the Rwandan and Congolese leaders to try to ease tensions between Kigali and Kinshasa.
Both sides accuse each other of supporting rebel groups in eastern DR Congo.
Mr Sall had earlier expressed "grave concern" at rising tensions between the two countries.
He appealed for dialogue to resolve the dispute.
Source: BBC