Wananchi DRC Waandamana kupinga Rwanda kuunga mkono kundi la waasi la M23

Wananchi DRC Waandamana kupinga Rwanda kuunga mkono kundi la waasi la M23

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
1,147
Reaction score
2,008
1654067817326.png

Mamia ya watu wameingia katika mitaa ya mji mkuu wa Kongo, Kinshasa, kulaani madai ya Rwanda kuwaunga mkono waasi wa M23. Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika aonesha wasiwasi mkubwa kutokana na mvutano kati ya Rwanda na DRC.

Mei 30, 2022, mwenyekiti wa Umoja wa Afrika, Rais wa Senegal Macky Sall, alifanya mazungumzo na viongozi wa Rwanda na Kongo kujaribu kupunguza mvutano ambapo pande zote mbili zinashutumu kila mmoja kwa kuunga mkono makundi ya waasi mashariki mwa DR Congo.

Mapema mwezi Mei 2022, wapiganaji wa M23 walianzisha mashambulizi na kuteka kambi ya jeshi la Kongo,Rumangabo ambapo serikali ya Kongo ilishutumu serikali ya Rais Paul Kagame kwa kuunga mkono waasi hao, tuhuma ambazo Rwanda ilikanusha.
===

Hundreds of people took to the streets of the Congolese capital, Kinshasa, to denounce Rwanda's alleged backing of the M23 rebel group.

The protests were organised by the civil society group, NDSCI.

On Monday, the chairman of the African Union, the Senegalese President Macky Sall, telephoned the Rwandan and Congolese leaders to try to ease tensions between Kigali and Kinshasa.

Both sides accuse each other of supporting rebel groups in eastern DR Congo.

Mr Sall had earlier expressed "grave concern" at rising tensions between the two countries.

He appealed for dialogue to resolve the dispute.

Source: BBC
 
hawa wacongoman wajinga sana, badala wajiunge jeshini ili kupigana na hao m23 wao wanakimbilia mabarabarani, huku hao vibaka wa M23 wakiendelea kuwanyanyasa
Rwanda ni nchi yenye alama ya utaifa., inaweza kuomba msaada mkubwa wa kijeshi kutoka nchi rafiki na kumuumiza vibaya DRC, nadhan solution ni nchi wanachama Afrika mashariki kuungana na kumpinga ikiwa kweli anahusika.
 
Mapema mwezi Mei 2022, wapiganaji wa M23 walianzisha mashambulizi na kuteka kambi ya jeshi la Kongo,Rumangabo ambapo serikali ya Kongo ilishutumu serikali ya Rais Paul Kagame kwa kuunga mkono waasi hao, tuhuma ambazo Rwanda ilikanusha.
Rwanda imeamua kuingia tena Drc kwa kivuli cha M23, hawa waasi wasingekuwa na nguvu kubwa ya kufanya hivyo ndani ya muda mfupi.
mtu chake Richard zitto junior
 
Hakuna mtu nyuma ya Rwanda. Kama yupo leta ushahidi.
Kila kitu mnataka ushahidi? Hujiulizi kitendo cha magaidi kumiriki siraha za hatari na hawana chanzo chochote cha mapato ya kuwawezesha kununua siraha za bei kubwa ni vip wanawezaje? Jibu ni kuwa kuna wahuni wanaowasapoti ambao ndyo hao hao wanaosapoti mivurugano na machafuko ili kutimiza ajenda zao..hiv JF kumbe siku hizi ina watu wa hovyo humu wasioweza kufikiri jambo dogo kama hili? Et umejiunga lini humu?
 
magenerali karibu wote kwenye jeshi la drc ni wanyarwanda kagame kapenyeza ma spy wengi sana drc na wapo kwenye sekta zote mhimu kuanzia jeshini polisi mpka usalama
wa taifa,

kwa kifupi afrika mashariki na kati hakuna nchi ya kuweza kupigana na rwanda
Oya hapo umechapia? Hiyo rwanda yenye population ya 7milions?[emoji23][emoji23][emoji23] sawa na wakazi wa mkoa wa dar tu kwa Tz? Ndio ije iwafunike east nzima?

Yaan kwa technolojia ya afrika bado tuko nyuma hatujafikia uwezo wa kupambana na vifaa visivyomuhitaji binadam ktk vita(drones&robots) kama wafanyavyo wenzetu japo nao bado wanahitaj rasilimali watu(wanajeshi), bado tunategemea uwingi na rasilimali watu(wanajeshi) kupigana, hivyo basi kwa East africa ni Tz na kenya pekee ndizo zenye uwezo wa kuwa superior, acheni kumpa sifa za kijinga huyo mrwanda, Tz ni vile hatujawai pata mechi hiv karibuni lkn na uwakika hakuna nchi ya east&central ya kupigana na Tz/kenya...
 
magenerali karibu wote kwenye jeshi la drc ni wanyarwanda kagame kapenyeza ma spy wengi sana drc na wapo kwenye sekta zote mhimu kuanzia jeshini polisi mpka usalama
wa taifa,

kwa kifupi afrika mashariki na kati hakuna nchi ya kuweza kupigana na rwanda
Upumbavu mtupu, Jeshi la Rwanda ni takataka mbele ya JWTZ na KDF
 
Stupid Congolese ukabila utawamaliza wote, M23 sio kikundi cha wahuni tuu wanaotaka madaraka kama watu wengi wanavyofikiria, ni banyamulenge na wana asili ya watusi na wanaishi Eastern Congo, Congolese wanataka kuwafanyia genocide kama wale wa Rwanda na mgogoro wote unaanzia hapo, wapo hapo kwa zaidi ya miaka 300 lakini wanaambiwa ni wahamiaji, hata mimi nisingekubali na jamaa wapo vizuri maana ndio wamekamata business zote mashariki ya Congo wana pesa na vita wanaijua
 
Back
Top Bottom