LGE2024 Wananchi Kibosho wakarabati barabara zote za mitaa

LGE2024 Wananchi Kibosho wakarabati barabara zote za mitaa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Wakuu salaam,

Wananchi wa kata ya Kibosho halmashauri ya wilaya ya Moshi wamekarabati barabara zote za eneo hilo kwa michango yao binafsi.

Wananchi wa mkoa wa Kilimanjaro kwa muda mrefu wana utamaduni wa kuchangia shughuli za kimaendeleo bila kutegemea serikali.

Siku chache zilizopita wananchi wa kata za marangu mashariki,mwika kaskazini walifanya jambo hilo hilo

Na mwaka 2017 wananchi wa Vunjo walivunja rekodi ya michango Kitaifa kwa kuchangia shilingi bilion 7 kukarabati barabara zote za Jimbo hilo.

Hongereni Wana Kilimanjaro

Chanzo: Azam news
Kibosho ipii hiyo?
 
🤣🤣🤣🤣🤣

Kuna Jamaa aliniambia Minazi ndio imewaharibu wazee wa Pwani, hawapalilii wala kuweka mbolea wanasubiri tu kuvuna nazi kila mwaka huku wanacheza bao vibarazani na kuoa wake wengi
😄😄
 
Mbona wewe ni mshamba sana , kuelekea December tutaona mengi hata kukodisha magari si watu wanajua .

View: https://youtu.be/NW7XostV22w?si=aQuWWu0yB91E6aod

Hahaha eti kukodi magari,kwahyo Kila mwaka wanakodi? Vipi mbona mabasi yote tz nzima yanapewaga kibali maalumu Ili yaende route ya Moshi? Na ndege zote zinajaaga,hâta treni inajaaga mwezi mzima
Tunapenda kwetu,hatuna nÿumba za hovyo kama nyie msiopenda makwenu
 
Si mila zenu ,mbona idadi ya watu ni ndogo kabla ya december? kwani unafikiria wengine wanaenda mwezi wa 12 kama nyie ...Hiyo ni yenu kimpango wenu .

Mimi naishi mkoa wa kwetu , kaangalie mji wenu ulivyochoka ...Kama mnapenda kwenu mngekuwa mnaenda mwezi mmoja ...Wzaramo na wapemba ndio wanaongoza kwa kupenda kwao , maisha yao yote wanaisha karibu na kwao
 
Back
Top Bottom