LGE2024 Wananchi Kibosho wakarabati barabara zote za mitaa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Kibosho ipii hiyo?
 
🀣🀣🀣🀣🀣

Kuna Jamaa aliniambia Minazi ndio imewaharibu wazee wa Pwani, hawapalilii wala kuweka mbolea wanasubiri tu kuvuna nazi kila mwaka huku wanacheza bao vibarazani na kuoa wake wengi
πŸ˜„πŸ˜„
 
Mbona wewe ni mshamba sana , kuelekea December tutaona mengi hata kukodisha magari si watu wanajua .



View: https://youtu.be/NW7XostV22w?si=aQuWWu0yB91E6aod
Hahaha eti kukodi magari,kwahyo Kila mwaka wanakodi? Vipi mbona mabasi yote tz nzima yanapewaga kibali maalumu Ili yaende route ya Moshi? Na ndege zote zinajaaga,hΓ’ta treni inajaaga mwezi mzima
Tunapenda kwetu,hatuna nΓΏumba za hovyo kama nyie msiopenda makwenu
 
Si mila zenu ,mbona idadi ya watu ni ndogo kabla ya december? kwani unafikiria wengine wanaenda mwezi wa 12 kama nyie ...Hiyo ni yenu kimpango wenu .

Mimi naishi mkoa wa kwetu , kaangalie mji wenu ulivyochoka ...Kama mnapenda kwenu mngekuwa mnaenda mwezi mmoja ...Wzaramo na wapemba ndio wanaongoza kwa kupenda kwao , maisha yao yote wanaisha karibu na kwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…