Wananchi kugeuzwa kitega uchumi na baadhi ya Polisi ndio kumeleta chuki dhidi yao, wala sio masuala ya kisiasa

Nakubali kabisa sababu kuna siku nilienda nimeibiwa nikaripoti badala yake naombwa pesa, yaani nimeibiwa na bado naombwa pesa? ni mambo ya hovyo kabisa, matokeo yake ile kesi niliachana nayo.
 
Leo nilikuwa kwenye ofisi ya umma tangu saa mbili kamili za asubuhi, bosi kaingia saa nne na robo! akatuangalia tulivyojipanga foreni kisha akaondoka kwenda kwenye "kikao" sijuhi atarudi saa ngapi?
Hakika tutakukumbuka Pombe Joseph Magufuli (R. I. P) watumishi wa umma wa Tanganyika wamerudi kwenye asili yao haraka sana nawapongeza kwa uvumilivu wao kwa miaka 6 !
 
Kiukweli tanzania inahitaji ifanye mabadiliko makubwa sana kwenye jeshi la polisi kuna tatzo, Shida moja mnachukuwa vijana wenye tamaaa sana kwenda upolisi , polisi wengi japo siyo wote ni wezi sema tu wao wanaiba Kwa kuwa wanalindwa na mfumo ndo maana raia wengi hawana urafiki kabsa na polisi maana polisi wengi ni wanafiki na waongo kikubwa kwao maslahi yao tu
 
Polisi wachache ndio wastarabu tu chief mimi nimeingia mikonon mwao mara tatu
Hapo mstarabu mmoja nilmkuta changombe baasi huko kwingine kote ni mbwamwitu
HATARI SANA...Sijui huwa wanajisiakaje wakirud na maburunguti ya udhulumaji.....sasa hapo wanatofauti gani vibaka?
TRUE NDUGU
 
Labda waboreshewe maslahi polisi wetu wana njaa sana hata Rais wetu juzi kasema hili.Wapate mishahara mizuri tamaa zitawapungua.It's so sad to see our police doing work of risking their life for the salaries of 200k,300k... #RaiaHuru.
 
Kazi ya upolisi ni kazi ya laana
 
Tulia CCM ikusage vizuri
 
vyote vimechangia chuki
 
HATARI SANA...Sijui huwa wanajisiakaje wakirud na maburunguti ya udhulumaji.....sasa hapo wanatofauti gani na vibaka?
wanasema wamepiga mtonyo. Wanarudi home ma kilo 5 ya nyama na Mchele kilo 30.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…