Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakubali kabisa sababu kuna siku nilienda nimeibiwa nikaripoti badala yake naombwa pesa, yaani nimeibiwa na bado naombwa pesa? ni mambo ya hovyo kabisa, matokeo yake ile kesi niliachana nayo.Kichwa cha habari chajitosheleza
Yaani uwe mshtaki au mshtakiwa bila fedha husikilizwi wala kusaidiwa. Tena ukiwaambia unajua haki zako ndio kabsaa.
Umewatibua, watakutenga na hawatajali malalamiko yako. Huu ni ndio ukweli halisi nendankwenye vituo vyao kazi ukajionee, mara lete elfu arobaini tukamkamate, mara ooh una 30 hapo ili tuweke mambo vizuri yaani pesa pes pesa ndio ushughulikiwe suala lako.
Upo sahihiNilinde nikulinde.Ploce uilinda ccm,ccm nayo uilinda police
HATARI SANA...Sijui huwa wanajisiakaje wakirud na maburunguti ya udhulumaji.....sasa hapo wanatofauti gani vibaka?Polisi wachache ndio wastarabu tu chief mimi nimeingia mikonon mwao mara tatu
Hapo mstarabu mmoja nilmkuta changombe baasi huko kwingine kote ni mbwamwitu
TRUE NDUGUKiukweli tanzania inahitaji ifanye mabadiliko makubwa sana kwenye jeshi la polisi kuna tatzo, Shida moja mnachukuwa vijana wenye tamaaa sana kwenda upolisi , polisi wengi japo siyo wote ni wezi sema tu wao wanaiba Kwa kuwa wanalindwa na mfumo ndo maana raia wengi hawana urafiki kabsa na polisi maana polisi wengi ni wanafiki na waongo kikubwa kwao maslahi yao tu
Labda waboreshewe maslahi polisi wetu wana njaa sana hata Rais wetu juzi kasema hili.Wapate mishahara mizuri tamaa zitawapungua.It's so sad to see our police doing work of risking their life for the salaries of 200k,300k... #RaiaHuru.Kiukweli tanzania inahitaji ifanye mabadiliko makubwa sana kwenye jeshi la polisi kuna tatzo, Shida moja mnachukuwa vijana wenye tamaaa sana kwenda upolisi , polisi wengi japo siyo wote ni wezi sema tu wao wanaiba Kwa kuwa wanalindwa na mfumo ndo maana raia wengi hawana urafiki kabsa na polisi maana polisi wengi ni wanafiki na waongo kikubwa kwao maslahi yao tu
Kazi ya upolisi ni kazi ya laanaKichwa cha habari chajitosheleza
Yaani uwe mshtaki au mshtakiwa bila fedha husikilizwi wala kusaidiwa. Tena ukiwaambia unajua haki zako ndio kabsaa.
Umewatibua, watakutenga na hawatajali malalamiko yako. Huu ni ndio ukweli halisi nendankwenye vituo vyao kazi ukajionee, mara lete elfu arobaini tukamkamate, mara ooh una 30 hapo ili tuweke mambo vizuri yaani pesa pes pesa ndio ushughulikiwe suala lako.
Tulia CCM ikusage vizuriLeo nilikuwa kwenye ofisi ya umma tangu saa mbili kamili za asubuhi, bosi kaingia saa nne na robo! akatuangalia tulivyojipanga foreni kisha akaondoka kwenda kwenye "kikao" sijuhi atarudi saa ngapi?
Hakika tutakukumbuka Pombe Joseph Magufuli (R. I. P) watumishi wa umma wa Tanganyika wamerudi kwenye asili yao haraka sana nawapongeza kwa uvumilivu wao kwa miaka 6 !
vyote vimechangia chukiKichwa cha habari chajitosheleza
Yaani uwe mshtaki au mshtakiwa bila fedha husikilizwi wala kusaidiwa. Tena ukiwaambia unajua haki zako ndio kabsaa.
Umewatibua, watakutenga na hawatajali malalamiko yako. Huu ni ndio ukweli halisi nendankwenye vituo vyao kazi ukajionee, mara lete elfu arobaini tukamkamate, mara ooh una 30 hapo ili tuweke mambo vizuri yaani pesa pes pesa ndio ushughulikiwe suala lako.
wanasema wamepiga mtonyo. Wanarudi home ma kilo 5 ya nyama na Mchele kilo 30.HATARI SANA...Sijui huwa wanajisiakaje wakirud na maburunguti ya udhulumaji.....sasa hapo wanatofauti gani na vibaka?
na inawezekanaNingekuwa rais ningeamua kila polisi awe mcha Mungu.
Bila hii tutadanganywa sanaSuluhisho: Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi vitakomesha hii "symbiotic life".