Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Pathetic fool!! Ulinzi shirikishi wakati polisi wanalipwa mishahara kwa kodi za wananchi ili kuwalinda???Nadhani ni ile dhana ya ulinzi shirikishi inatumika.
Pathetic fool!! Ulinzi shirikishi wakati polisi wanalipwa mishahara kwa kodi za wananchi ili kuwalinda???
vigilantes
a member of a self-appointed group of citizens who undertake law enforcement in their community without legal authority, typically because the legal agencies are thought to be inadequate.
Nadhani huelewi siku jambazi akivamia nyumbani kwako ukapiga kelele halafu hata jirani mmoja asikusaidie hata kupiga yowe ndipo utajua maana ya ulinzi shirikishiPathetic fool!! Ulinzi shirikishi wakati polisi wanalipwa mishahara kwa kodi za wananchi ili kuwalinda???
Wewe lazima utakuwa jambazi uliyeathirika na huo ulinzi wa wananchi unataka wauondoe uendelee na ujambazi wakoPathetic fool!! Ulinzi shirikishi wakati polisi wanalipwa mishahara kwa kodi za wananchi ili kuwalinda???
Ukisoma sheria ya ugaidi na tafsiri yake utajua kabisa serikali ya ccm haina tofauti na ile ya TalibaniSasa hivi maeneo mengi ya Mkoa wa DSM wananchi kwa umoja wao wameamua kuajiri walinzi binafsi na kuweka Vizuizi vya ukaguzi kwenye mitaa , ukifika kigamboni au Mbezi Beach ni lazima wenyeji wako wathibishe ujio wako mbele ya walinzi , vinginevyo utaishia njiani .
Pamoja na pongezi hizi kwa Wananchi kwa kuamua kujilinda Wenyewe na wahalifu , lakini kuna tafsiri kwamba jambo hili ni ishara ya Polisi kushindwa kutekeleza majukumu yao ya Halali baada ya kuelemewa na MAJUKUMU YASIYOWAHUSU YA KISIASA .
heheheKweli kabisa mkuu, wananchi wanalipa kodi kibao zinazotumika mpaka kugharamia vyombo vya ulinzi na usalama, lakini wanatugeuza kuwa vigilantes, watuambie fedha zinazokwenda wizara ya mambo ya ndani zinatumika vipi na kama hazitoshi basi serikali ipunguze gharama ya kuendesha serikali kuu kwa kuacha kununua magari ya serikali ya kifahari, samani/fanicha za kutisha tunazoziona ktk ofisi za serikali, serikali iache kugharamia bando za kununua vocha kwa wakubwa watumie WhatsApp n.k Ili waache kuwatumia wananchi kuwa mgambo/ vigilantes.
vigilantes
a member of a self-appointed group of citizens who undertake law enforcement in their community without legal authority, typically because the legal agencies are thought to be inadequate.
umetaja maeneo mawili tu. mbezi beach na kigamboni? ni sehem ndogo sana ya hii nchi.Sasa hivi maeneo mengi ya Mkoa wa DSM wananchi kwa umoja wao wameamua kuajiri walinzi binafsi na kuweka Vizuizi vya ukaguzi kwenye mitaa , ukifika kigamboni au Mbezi Beach ni lazima wenyeji wako wathibishe ujio wako mbele ya walinzi , vinginevyo utaishia njiani .
Pamoja na pongezi hizi kwa Wananchi kwa kuamua kujilinda Wenyewe na wahalifu , lakini kuna tafsiri kwamba jambo hili ni ishara ya Polisi kushindwa kutekeleza majukumu yao ya Halali baada ya kuelemewa na MAJUKUMU YASIYOWAHUSU YA KISIASA .
Plc wapo buzy na chademaSasa hivi maeneo mengi ya Mkoa wa DSM wananchi kwa umoja wao wameamua kuajiri walinzi binafsi na kuweka Vizuizi vya ukaguzi kwenye mitaa , ukifika kigamboni au Mbezi Beach ni lazima wenyeji wako wathibishe ujio wako mbele ya walinzi , vinginevyo utaishia njiani .
Pamoja na pongezi hizi kwa Wananchi kwa kuamua kujilinda Wenyewe na wahalifu , lakini kuna tafsiri kwamba jambo hili ni ishara ya Polisi kushindwa kutekeleza majukumu yao ya Halali baada ya kuelemewa na MAJUKUMU YASIYOWAHUSU YA KISIASA .
ukitaka kujua fedha za wizara ya ulinzi nenda tu wizarani omba report. tena fanya appointment na waziri husika.Kweli kabisa mkuu, wananchi wanalipa kodi kibao zinazotumika mpaka kugharamia vyombo vya ulinzi na usalama, lakini wanatugeuza kuwa vigilantes, watuambie fedha zinazokwenda wizara ya mambo ya ndani zinatumika vipi na kama hazitoshi basi serikali ipunguze gharama ya kuendesha serikali kuu kwa kuacha kununua magari ya serikali ya kifahari, samani/fanicha za kutisha tunazoziona ktk ofisi za serikali, serikali iache kugharamia bando za kununua vocha kwa wakubwa watumie WhatsApp n.k Ili waache kuwatumia wananchi kuwa mgambo/ vigilantes.
vigilantes
a member of a self-appointed group of citizens who undertake law enforcement in their community without legal authority, typically because the legal agencies are thought to be inadequate.
Kwasababu unalipa kodi subiri siku aje jambazi kukutembelea nyumbani kwako, halafu ukishapapaswa kwa upumbavu wako ukawalumu polisi kwanini umepapaswa wakati unalipa kodi.Pathetic fool!! Ulinzi shirikishi wakati polisi wanalipwa mishahara kwa kodi za wananchi ili kuwalinda???
Hii mentality ndio inawafanya muonekane wakulia lia, polisi hata kama wapo hawawezi kulinda kila nyumba, kila mtaa, Tanzania nzima.Kweli kabisa mkuu, wananchi wanalipa kodi kibao zinazotumika mpaka kugharamia vyombo vya ulinzi na usalama, lakini wanatugeuza kuwa vigilantes, watuambie fedha zinazokwenda wizara ya mambo ya ndani zinatumika vipi na kama hazitoshi basi serikali ipunguze gharama ya kuendesha serikali kuu kwa kuacha kununua magari ya serikali ya kifahari, samani/fanicha za kutisha tunazoziona ktk ofisi za serikali, serikali iache kugharamia bando za kununua vocha kwa wakubwa watumie WhatsApp n.k Ili waache kuwatumia wananchi kuwa mgambo/ vigilantes.
vigilantes
a member of a self-appointed group of citizens who undertake law enforcement in their community without legal authority, typically because the legal agencies are thought to be inadequate.
🚮🚮🚮Pathetic fool!! Ulinzi shirikishi wakati polisi wanalipwa mishahara kwa kodi za wananchi ili kuwalinda???