DidYouKnow
JF-Expert Member
- Jul 28, 2019
- 1,229
- 1,950
Ulizi shirikishi Tanzania umeanza siku nyingi sana.Ulinzi huu ulibadilika jina ukawa ulinzi wa sungusungu.Haya yalifanyika miaka ya tisini wakati wazir wa mambo ya ndani akiwa mrema.Na hawa polisi wengine walikuwa hawajazaliwa.Na polisi walikuwepo wa nyakati hizo.Inaonekana huna idea kabisa ya haya mambo.Pathetic fool!! Ulinzi shirikishi wakati polisi wanalipwa mishahara kwa kodi za wananchi ili kuwalinda???
Kwani huko ni mbuga ya wanyama ya serengeti ?Ina maana hiyo mitaa makapuku kama Mimi ambao ha tuna mwenyeji wala ndugu haturuhusiwi kwenda kutembea????
Polisi wapo busy na CHADEMASasa hivi maeneo mengi ya Mkoa wa DSM wananchi kwa umoja wao wameamua kuajiri walinzi binafsi na kuweka Vizuizi vya ukaguzi kwenye mitaa , ukifika kigamboni au Mbezi Beach ni lazima wenyeji wako wathibishe ujio wako mbele ya walinzi , vinginevyo utaishia njiani .
Pamoja na pongezi hizi kwa Wananchi kwa kuamua kujilinda Wenyewe na wahalifu , lakini kuna tafsiri kwamba jambo hili ni ishara ya Polisi kushindwa kutekeleza majukumu yao ya Halali baada ya kuelemewa na MAJUKUMU YASIYOWAHUSU YA KISIASA .
Je mahusiano ya polisi na wananchi yakoje?Uwiano wa idadi ya askari kwa wananchi unatakiwa uweje?tusipongeze wala kulaumu
Kwa mawazo yangu uhaba wa vituo vya polisi sio tatizo. Tatizo ni kutokuwa na polisi wanaozunguka mtaani kutuhakikishia usalama wetu. Hawa kwa kuzunguka mtaani ndio wangewajua watu wanaoishi humo na wangeweza kuitikia mapema pale tukio la uhalifu linapotokea. Vituo vya polisi vinawageuza watu wa mezani ambao wanangojea kuitwa tukio likitokea. Hali hii ndio inapelekea kuwa ukiripoti tukio unaambiwa kamkamate unayemshuku uwaletee! Kwa maneno mengine kazi yao wame outsource kwa raia. Kwa wenzetu, kituo cha polisi ni mtaani ambako wana patrol kwa kutumia miguu, baiskeli au magari. Tuache kuwajengea vituo, tuwanunulie baiskeli.Kwa swala hili mkuu acha tujilinde maana km huku kigamboni tuna uhaba wa vituo vya polisi vibaka walianza kuja kuiba ila baada ya sisi kuanza lindo sasa tunalala usingizi safi kabisa pia kama ww si mharifu unaogopa nn kuhojiwa ukisimamishwa na walinzi wetu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mkuu baiskeli kweli si bora hata pikipiki watawahi sehem ya tukioKwa mawazo yangu uhaba wa vituo vya polisi sio tatizo. Tatizo ni kutokuwa na polisi wanaozunguka mtaani kutuhakikishia usalama wetu. Hawa kwa kuzunguka mtaani ndio wangewajua watu wanaoishi humo na wangeweza kuitikia mapema pale tukio la uhalifu linapotokea. Vituo vya polisi vinawageuza watu wa mezani ambao wanangojea kuitwa tukio likitokea. Hali hii ndio inapelekea kuwa ukiripoti tukio unaambiwa kamkamate unayemshuku uwaletee! Kwa maneno mengine kazi yao wame outsource kwa raia. Kwa wenzetu, kituo cha polisi ni mtaani ambako wana patrol kwa kutumia miguu, baiskeli au magari. Tuache kuwajengea vituo, tuwanunulie baiskeli.
Amandla....
Sasa hivi maeneo mengi ya Mkoa wa DSM wananchi kwa umoja wao wameamua kuajiri walinzi binafsi na kuweka Vizuizi vya ukaguzi kwenye mitaa , ukifika kigamboni au Mbezi Beach ni lazima wenyeji wako wathibishe ujio wako mbele ya walinzi , vinginevyo utaishia njiani .
Pamoja na pongezi hizi kwa Wananchi kwa kuamua kujilinda Wenyewe na wahalifu , lakini kuna tafsiri kwamba jambo hili ni ishara ya Polisi kushindwa kutekeleza majukumu yao ya Halali baada ya kuelemewa na MAJUKUMU YASIYOWAHUSU YA KISIASA .
Kama vile hujamuelewa mtoa mada. Sio kwamba napingana na wewe au yeye anapingana na wewe ila rudia tena kusoma ile uweze kuelewa mantiki ya hoja yake.Kwa swala hili mkuu acha tujilinde maana km huku kigamboni tuna uhaba wa vituo vya polisi vibaka walianza kuja kuiba ila baada ya sisi kuanza lindo sasa tunalala usingizi safi kabisa pia kama ww si mharifu unaogopa nn kuhojiwa ukisimamishwa na walinzi wetu.
subiri siku uje kubakwa,mashtaka kwa polisi kuzembea utayaleta hapa jf.Pathetic fool!! Ulinzi shirikishi wakati polisi wanalipwa mishahara kwa kodi za wananchi ili kuwalinda???
hata kununua kufuli na kuweka mlango imara kwako ni ishara kwamba jeshi halifanyi kazi yake sawa sawa!!Sasa hivi maeneo mengi ya Mkoa wa DSM wananchi kwa umoja wao wameamua kuajiri walinzi binafsi na kuweka Vizuizi vya ukaguzi kwenye mitaa , ukifika kigamboni au Mbezi Beach ni lazima wenyeji wako wathibishe ujio wako mbele ya walinzi , vinginevyo utaishia njiani .
Pamoja na pongezi hizi kwa Wananchi kwa kuamua kujilinda Wenyewe na wahalifu , lakini kuna tafsiri kwamba jambo hili ni ishara ya Polisi kushindwa kutekeleza majukumu yao ya Halali baada ya kuelemewa na MAJUKUMU YASIYOWAHUSU YA KISIASA .
hata mgambo hawezi huyu,mayai sana halafu eti ni askari[emoji1][emoji1][emoji1]Nenda kawe polisi wewe
Neighbourhood watchSasa hivi maeneo mengi ya Mkoa wa DSM wananchi kwa umoja wao wameamua kuajiri walinzi binafsi na kuweka Vizuizi vya ukaguzi kwenye mitaa , ukifika kigamboni au Mbezi Beach ni lazima wenyeji wako wathibishe ujio wako mbele ya walinzi , vinginevyo utaishia njiani .
Pamoja na pongezi hizi kwa Wananchi kwa kuamua kujilinda Wenyewe na wahalifu , lakini kuna tafsiri kwamba jambo hili ni ishara ya Polisi kushindwa kutekeleza majukumu yao ya Halali baada ya kuelemewa na majukumu yasiyowahusu ya kisiasa .
Ulaya na Marekani wanatumia sana baiskeli. Hamna kisingizio cha hatuna pesa ya petroli na inaweza kupita sehemu yeyote. Aidha, vitambi vitawatoka.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mkuu baiskeli kweli si bora hata pikipiki watawahi sehem ya tukio
Na hata huko ni baadhi ya mitaa tu. Ni upuuzi kuweka kizuizi kwenye barabara ya umma mtu asipite mpaka aseme anaenda kwa nani. Kwahio siwezi kukatiza mtaa huo nikatokea mtaa mwingine kuendelea na safari yangu? au mitaa yao haitoki upande mmoja?umetaja maeneo mawili tu. mbezi beach na kigamboni? ni sehem ndogo sana ya hii nchi.
labda kama wananchi nchi nzima wameweka vizuizi.
umeweka as if ni tanzania nzima wananchi wote wamefanyahikokitu kumbe wapi. asilimia kubwa nchini hawajachukua hatua hizo.
suala la ulinzi binafsi limekuwepo miaka mingi sana. si kitu cha juzi wala jana.
lakin asilimia kubwa hawawezi ku afford hizo services.
una hojaNa hata huko ni baadhi ya mitaa tu. Ni upuuzi kuweka kizuizi kwenye barabara ya umma mtu asipite mpaka aseme anaenda kwa nani. Kwahio siwezi kukatiza mtaa huo nikatokea mtaa mwingine kuendelea na safari yangu? au mitaa yao haitoki upande mmoja?