chuwaalbert
JF-Expert Member
- Sep 17, 2010
- 3,598
- 2,136
Umenikumbusha kanghwimbo ka mchakamchaka enzi niliwa puraimari skul...Banda wa Malawi, katuvalia ngozi ya Simba, kututishia Watanzania, hatujali. Hatujali. Banda alijiita Ngwanzi. Raisi wa maisha....anataka kuwa Rais wa maisha?
ni kweli miaka 10 haimtoshi?
Acheni kukufuru. Anayetawala milele , ni yule asiyekuwa na mwanzo, wala mwisho.(aliyeumba mbinguni na nchi.)Hayo ni yako tu lkn wananchi tulio wengi tunamsapoti Raisi wetu Magufuli na tunahitaji atawale milele Wanaompinga Magufuli ni watu wavivu wezi wahujumu uchumi
rais wetu ana afya madhubutu bado yupoyupo sana,Wewe peke yako ndo unamhitaji atawale milele..
hata akibadili katiba kuna kifo hataweza kukikwepa milele
rais wetu ana afya madhubutu bado yupoyupo sana,Wewe peke yako ndo unamhitaji atawale milele..
hata akibadili katiba kuna kifo hataweza kukikwepa milele
[emoji19] [emoji19] [emoji37]Habar wakuu,amani iwe juu yenu
Wananchi mkoa wa Mara kijiji cha Nyamuswa wakiongozwa na wazir mkuu mstaafu jaji Sinde Warioba wameeandamana na kuweka mkutano kwa lengo la kumpongeza rais Magufuli kwa kusimamia rasilimali za taifa ipasavyo..wananchi hao walienda mbali zaid kwa kubeba mabango yanayomtaka rais Maguful aongoze miaka 100!
My take:Hata Rwanda walianza hivi hivi chondechonde watz wenzangu tuwe makini kuna harufu ya ukagame inanukia,
Hata mimi nashangaa.Hivi chadema imeshaanza itambua twaweza?