Dubai Market
JF-Expert Member
- Sep 13, 2016
- 1,186
- 1,595
Utafanya nini wewe??Hana lolote,mbona hapatakalika.Yaani katiba ya nchi ivunjwe hivihivi pakubwa hivyo tumtazame tu!?.Acha avunje vile vidogovidogo Ila kwenye miaka ya kuongoza asahau.
Na hao waropokaji tulishawazoea.Walisema kwa Mkapa,wakaja kwa JK na wimbo wao huoho wa kuongezewa miaka.Na leo tena wamerejea,tutawakomesha!!
unasahau kuwa ni wabunge wa CCM ndio waliopitisha kuwa ni miaka kumi na ni makamanda wa chadema walio muondolea ukomo wa madaraka mwenyekiti waoNa kwa mibunge ya CCM ilivyo na akili funyu itapitisha
Unataka ujue ili iweje!? Wadanganyeni tu wavunje katiba kwa kujiongezea muda,hapo ndipo swali lako hili litapata jibu!!Utafanya nini wewe??
Hii barua mbona imejichoresha sana, hakuiandika vzr, haiwezi hata kum motivate anayepongezwa hata kama watatokea watu milioni. Haya mambo yanapendeza yakionekana watu wamefanya kwa hiari, si kwa shuruti. It's so sad [emoji15][emoji15][emoji15]Na kwa maagizo ya aina hii lazima wapate washiriki wengi
Warioba nae anataka jpm aongoze miaka 100??Habar wakuu,amani iwe juu yenu
Wananchi mkoa wa Mara kijiji cha Nyamuswa wakiongozwa na wazir mkuu mstaafu jaji Sinde Warioba wameeandamana na kuweka mkutano kwa lengo la kumpongeza rais Magufuli kwa kusimamia rasilimali za taifa ipasavyo..wananchi hao walienda mbali zaid kwa kubeba mabango yanayomtaka rais Maguful aongoze miaka 100!
My take:Hata Rwanda walianza hivi hivi chondechonde watz wenzangu tuwe makini kuna harufu ya ukagame inanukia,
Hawa watu wanaufinyu wa maarifa na ufahamu wa vitu vingi vya nchi hii.Ujinga ni mzigo.
Naona umezoea huo mchezo hadi umekukaa kichwani.Najifanya vipi samahani acha matusi... Wewe kama wanakufanya unajua endelea "kupanua ndivyo utamu unavyozidi "
Acha ramli chonganishi!!!Mbowe kabadili katiba kinyemela kuwa Mwenyekiti wa maisha hujafungua threadKuna watu wanaweza kubeza hali inayoendelea na kuichukulia poa! Maigizo mnayoyaona ya wanancho katika mikoa mbalimbali eti wanaandamana kudai Rais aongoze miaka mia .............. siyo kwa bahati mbaya!
natabiri kitakachofuata ni Muswada Wa mabadiliko kupelekwa bungeni ili kubadilisha vifungu vya katiba vitakavyompa Fursa Rais Wa sasa kuongezewa muda
time will tell
Mliiponda twaweza na kujisifia wafuasi wengi wa huko ni wasomi sasa mnaoga nini??Kama ungekua uwezo wangu wenye mawazo kama hayo wangerudishwa shule waelimishwe kwanza
Mkuu The Boss, kiukweli miaka kumi haitoshi.ni kweli miaka 10 haimtoshi?
Nyie ndio wachawi wenyeweSiku hizi haipiti siku mbili bila kusikia kile kinachotangazwa kuwa
'wananchi wanataka Magufuli aongezewe muda'
Na ukifuatilia zaidi unagundua sio wananchi bali ni 'mipango mipango' tu
ya watu wachache.....
cha kushangaza Magufuli hata nusu ya miaka mitano tu ya kwanza hajamaliza...
na wala sio kwamba anakaribia kufikisha miaka kumi ya urais wake
Lakini 'harakati za waziwazi sasa zinaonekana' za kuweka mazingira
ya kumuwezesha akae zaidi ya kikomo cha miaka 10 kama wenzie...
Swali la kujiuliza.....anataka kuwa Rais wa maisha?
ni kweli miaka 10 haimtoshi?