Wananchi mnachukuliaje kocha kuwaamnini Andambwile na Edmund John

sonofobia

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2015
Posts
1,332
Reaction score
4,822
Najua Yanga wengi walikuwa na kikosi chao kichwani.

Mara kocha mpya kaja na selection yake ambayo haikutegemewa.

Edmund John
Aziz Andambwile

Leo wamecheza vizuri wote lakini bado hatujawaona mechi kubwa zenye presha.

Vipi wananchi mmewaonaje awa mastaa wapya? Ni wa kuwategema kuvusha team?
 
Anaitwa Aziz Anda(b)wile Mwambalaswa
Siyo Anda-M-bwile
 
1758308574938.png
 
Najua Yanga wengi walikuwa na kikosi chao kichwani.

Mara kocha mpya kaja na selection yake ambayo haikutegemewa.

Edmund John
Aziz Andambwile

Leo wamecheza vizuri wote lakini bado hatujawaona mechi kubwa zenye presha.

Vipi wananchi mmewaonaje awa mastaa wapya? Ni wa kuwategema kuvusha team?
wamecheza kawaida sana timu waliocheza nayo ilikua hoi, ni mapema sana kumpa presha kocha ngoja apate mechi nzito nzito then tutajua ni plan ama ndo kakosa mbinu
 
Najua Yanga wengi walikuwa na kikosi chao kichwani.

Mara kocha mpya kaja na selection yake ambayo haikutegemewa.

Edmund John
Aziz Andambwile

Leo wamecheza vizuri wote lakini bado hatujawaona mechi kubwa zenye presha.

Vipi wananchi mmewaonaje awa mastaa wapya? Ni wa kuwategema kuvusha team?
Tulio na uzoefu hana maisha maisha, kochq ana pressure kuliko wachezaji wenyewe, nilichokiona Yanga ni kubwa kuliko uwezo wake huenda ni personal au kiproffesional
 
Kwamba walisajiliwa kuwa bench warmers? Jana niliangalia mechi ya Yanga, Aziz was exceptional, hata huyo Edmund alivyoingia na Max walibadilisha mchezo. Sasa sijui unasemea on the merits of the game au kwa sababu ya wao kuitwa Aziz na Edmund!!
 
Back
Top Bottom