Wananchi mnachukuliaje kocha kuwaamnini Andambwile na Edmund John

Wananchi mnachukuliaje kocha kuwaamnini Andambwile na Edmund John

Andambile ni kiungo wa chini mwenye kumasta vema majukumu yake,hatapiga pasi za mwisho, lakini ni kiungo mzuri anakukabia na kukulindia mabeki wako ipasavyo. Andambwile ni kitasa.
 
Andambile ni kiungo wa chini mwenye kumasta vema majukumu yake,hatapiga pasi za mwisho, lakini ni kiungo mzuri anakukabia na kukulindia mabeki wako ipasavyo. Andambwile ni kitasa.
Ngoja nimuone kwenye wapinzani wagumu ndio nitatoa neno ila kwa mechi iliyopita dhidi ya Simba, shujaa alikuwa Diara, Simba walipiga on target nyingi tu. Kwenye mechi ya jana japo wapinzani walikuwa dhaifu ila walilifikia lango la Yanga. Ngoja niendelee kuutazama mpira wa huyu kocha kwa mechi za mbeleni dhidi ya wapinzani wagumu.
 
muda utakuthibitishia kwamba hujui kitu
Aziz anacheza mpira rahisi hivo anamuda mrefu ataanza kusugua benchi, muda wote anapiga square pass na anakaa eneo moja asaidia pembeni na uwezi muona kabsa, bala conte alikua na injury soon ataanza kucheza.

NB: mpira anaocheza andambwile ni rahisi mno
 
Azizi ni mchezaji mkubwa Tena wa mechi kubwa na kila jambo Lina muda na wakati.
Mchezji mkubwa tuna mpima anapo pokea Mpira na apoachia Mpira anatumia muda mchachesana kufanya maamuzi.
Kwasasa anakwenda vizuri na timing ya Mpira na anticipation ila kadri anavyopata muda wa kucheza mwili wake utafunguka na tutapata kitu kikubwa na cha kushangaza kutoka kwake kwakua hana hofu yoyote katika maamuzi yake icho ni kitu kikubwa katika mchezo wowote.
 
Aziz awekwe bench na nani Conte!!?, ngoja siku aanze takataka Conte ndipo utauona umuhimu wa Aziz Andabwile
Why asimchezeshe Abuya 6 na Mudathir namba 8 ,kwa mtazamo wangu simuamini sana Azizi japo inawezekana ameimprove
 
Na kocha namuona kama hajapata kikosi cha kwanza na ametumia strategy ya kuanza na wale waliokuwepo msimu uliopita , mechi 2 za kiushindani wachezaji wote ni wa msimu jana isipokuwa mechi ya jana 1

So far yanga inachangamoto kwenye kiungo mkabaji mwenye uwezo wa kuchezesha kutokea chini na mfungaji mzuri wakipatia hapo kuna timu nzuri
 
Workrate na quality yake huwezi kuicompare na Azizi na ili kuleta balance anacheza na Abuya
Quality gani anayo Mudathir zaidi ya kukaba tu. Azizi me pia bado sijaona uwezo wake, namuona anacheza kama centreback kwenye no.6.
 
Uzuri wa Watanzania hawachelewi kugeuka...
Ni kweli Edmund John ni zaidi ya KIBU ila ANDAMBWILE against vilaza kama MPANZU + AHOUA + KIBU atangara kila mechi, achilie mbali ile
Mbeya City ya Angola...
 
Quality gani anayo Mudathir zaidi ya kukaba tu. Azizi me pia bado sijaona uwezo wake, namuona anacheza kama centreback kwenye no.6.
Boss Mudathir kweli siyo mzuri kweny first touch na inapelekea kuwa mbovu kwenye pass accuracy lakin workrate yake kukaba na kushambulia next level na pia akiwa kwenye box la timu pinzani assist na kuscore anajitahidi
 
Ni kweli mkuu, pass accuracy yake iko low. Pia ni kama mtu mwenye msimu ila kukaba tu anajitahidi sana.
 
Back
Top Bottom