Anaitwa Aziz Anda(b)wile MwambalaswaNajua Yanga wengi walikuwa na kikosi chao kichwani.
Mara kocha mpya kaja na selection yake ambayo haikutegemewa.
Edmund John
Aziz Andambwile
Leo wamecheza vizuri wote lakini bado hatujawaona mechi kubwa zenye presha.
Vipi wananchi mmewaonaje awa mastaa wapya? Ni wa kuwategema kuvusha team?
Geita then singida blackEdmund John ametokea timu gani?
Labda aje kocha mwingine. Ila siyo huyu wa sasa; Romain Folz ambaye humwambii kitu kwa huyo mchezaji.Aziz ni suala la Muda ataanza kusugua benchi, hao wengine sijui.
wamecheza kawaida sana timu waliocheza nayo ilikua hoi, ni mapema sana kumpa presha kocha ngoja apate mechi nzito nzito then tutajua ni plan ama ndo kakosa mbinuNajua Yanga wengi walikuwa na kikosi chao kichwani.
Mara kocha mpya kaja na selection yake ambayo haikutegemewa.
Edmund John
Aziz Andambwile
Leo wamecheza vizuri wote lakini bado hatujawaona mechi kubwa zenye presha.
Vipi wananchi mmewaonaje awa mastaa wapya? Ni wa kuwategema kuvusha team?
Tulio na uzoefu hana maisha maisha, kochq ana pressure kuliko wachezaji wenyewe, nilichokiona Yanga ni kubwa kuliko uwezo wake huenda ni personal au kiproffesionalNajua Yanga wengi walikuwa na kikosi chao kichwani.
Mara kocha mpya kaja na selection yake ambayo haikutegemewa.
Edmund John
Aziz Andambwile
Leo wamecheza vizuri wote lakini bado hatujawaona mechi kubwa zenye presha.
Vipi wananchi mmewaonaje awa mastaa wapya? Ni wa kuwategema kuvusha team?
Aziz awekwe bench na nani Conte!!?, ngoja siku aanze takataka Conte ndipo utauona umuhimu wa Aziz AndabwileAziz ni suala la Muda ataanza kusugua benchi, hao wengine sijui.
Huna ujualo kuhusu mpira, kwaherAziz awekwe bench na nani Conte!!?, ngoja siku aanze takataka Conte ndipo utauona umuhimu wa Aziz Andabwile
muda utakuthibitishia kwamba hujui kituHuna ujualo kuhusu mpira, kwaher