Wao wanachojua kubishania Simba na Yanga tu.Vijana wa dar ndio wanatukwami
Wakivaa sale nirahisi mtuhumiwa kukimbiaKwanini sheria isiwabane polisi kuvaa sare kabla ya kukamata?
Najitolea kuisambazaWapo sahihi kabisa. Askari anayepaswa kufanya arresting anatakiwa awe amevaa uniform.
Inapendeza kuona watu wameanza kuamka na wanajitolea kusimamia utekelezwaji wa sheria na taratibu.
Wananchi waichukue hii PGO wakaisoma na kuielewa na kuisambaza kwa wananchi wengine ili waweze kuwasimamia vizuri Polisi katika utendaji wao.
Huyu jamaa ni mnafiki sana, kwenye uchaguzi mkuu 2020 mpizanani wake jimboni Ruangwa alitekwa wakati wa kurudisha form ili atangazwe kupita bila kupingwa hivyo huyu ni mshukiwa namba moja katika utekaji huo, hana moral authoriy ya kulizungumzia jambo la utekaji.Majaliwa anakwambia MSILAUMU POLISI
Bado IGP yuko tuu ana tuambia nchi iko salama. Na Mh. Rais ana tupa story za Chura..Wakuu, tukio hili inasemekana limetokea Mwanza ambapo watu waliojitambulisha kama polisi waenda kukamata watu eneo hilo, raia wakazuia gari hilo mpaka mkuu wa kituo pamba aende kuwatambua kuwa kweli ni polisi.
Mwenye taarifa juu ya kilichojiri atujuze.
Safi sana, wakija kijinga namna hii dawa yake ni kuwachoma moto kabisa na kigari chao hii itapeleka ujumbe kwa Serikali kuwa kama wamepitisha sheria inayowapa kinga TISS kukamata watuhumiwa bila kujulikana wanawapeleka wapi kisha baadae maiti zao kutupwa maporini basi nasi wananchi tutumie haki yetu ya asili ya kujilinda kwa kuwaua watu hawa.Wakuu, tukio hili inasemekana limetokea Mwanza ambapo watu waliojitambulisha kama polisi waenda kukamata watu eneo hilo, raia wakazuia gari hilo mpaka mkuu wa kituo pamba aende kuwatambua kuwa kweli ni polisi.

Wangewatia kiberiti kabisaWakuu, tukio hili inasemekana limetokea Mwanza ambapo watu waliojitambulisha kama polisi waenda kukamata watu eneo hilo, raia wakazuia gari hilo mpaka mkuu wa kituo pamba aende kuwatambua kuwa kweli ni polisi.
Mwenye taarifa juu ya kilichojiri atujuze.
Umenena vema. Hata ue utaratibu wa kuchoma vibaka ulianza hivi hivi. Kabla yake hakuna kibaka aliyewahi kuchomwa. Raia kila walipomkamata kibaka walimpeleka polisi, lakini ipolisi badala ya kumchukulia hatua za kisheria kibaka, walimdai peßa kibaka, akishawapa, walimwachia. Kesho yake wananchi wanamwona kibaka mtaani anatamba. Ikatojea tukio moja tu Dar, Wananchi wakamchoma moto kibaka. Polisi wakatangaza kuwa wananchi wenye hasira kali wamemchoma moto kibaka. Habari zikasikika nchi nzima, na huo ukageuka kuwa ndio utaratibu wa kushughulikia vibaka.Uzuri haya mambo huanza mithili ya mbuyu ukiwa kama mchicha!! Bahati mbaya watawala si wanafunzi wazuri wa historia.u
Uzuri kesi ikishakuwa na TAG ya raia wenye hasira kali inakuwa imeisha hiyoWangewachoma moto kabisa.
Halafu wakuu wao wangekuja kuwatambua kwa fingerprint
Safi sana.Wakuu, tukio hili inasemekana limetokea Mwanza ambapo watu waliojitambulisha kama polisi waenda kukamata watu eneo hilo, raia wakazuia gari hilo mpaka mkuu wa kituo pamba aende kuwatambua kuwa kweli ni polisi.
Mwenye taarifa juu ya kilichojiri atujuze.
SiWapo sahihi kabisa. Askari anayepaswa kufanya arresting anatakiwa awe amevaa uniform.
Inapendeza kuona watu wameanza kuamka na wanajitolea kusimamia utekelezwaji wa sheria na taratibu.
Wananchi waichukue hii PGO wakaisoma na kuielewa na kuisambaza kwa wananchi q ili waweze kuwasimamia vizuri Polisi katika utendaji wao.
Yes. Mimi mtu muuaji namchukia sana. Hapo dawa ni kiberiti tuUzuri kesi ikishakuwa na TAG ya raia wenye hasira kali inakuwa imeisha hiyo