Wananchi Mwanza wadaiwa kuzuia watu waliovalia kiraia kuondoka na watuhumiwa, waita Mkuu wa Kituo Pamba kuja kuwatambua

Wananchi Mwanza wadaiwa kuzuia watu waliovalia kiraia kuondoka na watuhumiwa, waita Mkuu wa Kituo Pamba kuja kuwatambua

Wapo sahihi kabisa. Askari anayepaswa kufanya arresting anatakiwa awe amevaa uniform.
Inapendeza kuona watu wameanza kuamka na wanajitolea kusimamia utekelezwaji wa sheria na taratibu.
Wananchi waichukue hii PGO wakaisoma na kuielewa na kuisambaza kwa wananchi wengine ili waweze kuwasimamia vizuri Polisi katika utendaji wao.
Najitolea kuisambaza
 
Majaliwa anakwambia MSILAUMU POLISI
Huyu jamaa ni mnafiki sana, kwenye uchaguzi mkuu 2020 mpizanani wake jimboni Ruangwa alitekwa wakati wa kurudisha form ili atangazwe kupita bila kupingwa hivyo huyu ni mshukiwa namba moja katika utekaji huo, hana moral authoriy ya kulizungumzia jambo la utekaji.
 
Wakuu, tukio hili inasemekana limetokea Mwanza ambapo watu waliojitambulisha kama polisi waenda kukamata watu eneo hilo, raia wakazuia gari hilo mpaka mkuu wa kituo pamba aende kuwatambua kuwa kweli ni polisi.

Mwenye taarifa juu ya kilichojiri atujuze.

Bado IGP yuko tuu ana tuambia nchi iko salama. Na Mh. Rais ana tupa story za Chura..
 
Wakuu, tukio hili inasemekana limetokea Mwanza ambapo watu waliojitambulisha kama polisi waenda kukamata watu eneo hilo, raia wakazuia gari hilo mpaka mkuu wa kituo pamba aende kuwatambua kuwa kweli ni polisi.

Mwenye taarifa juu ya kilichojiri atujuze.

Safi sana, wakija kijinga namna hii dawa yake ni kuwachoma moto kabisa na kigari chao hii itapeleka ujumbe kwa Serikali kuwa kama wamepitisha sheria inayowapa kinga TISS kukamata watuhumiwa bila kujulikana wanawapeleka wapi kisha baadae maiti zao kutupwa maporini basi nasi wananchi tutumie haki yetu ya asili ya kujilinda kwa kuwaua watu hawa.
 
Uzuri haya mambo huanza mithili ya mbuyu ukiwa kama mchicha!! Bahati mbaya watawala si wanafunzi wazuri wa historia.u
Umenena vema. Hata ue utaratibu wa kuchoma vibaka ulianza hivi hivi. Kabla yake hakuna kibaka aliyewahi kuchomwa. Raia kila walipomkamata kibaka walimpeleka polisi, lakini ipolisi badala ya kumchukulia hatua za kisheria kibaka, walimdai peßa kibaka, akishawapa, walimwachia. Kesho yake wananchi wanamwona kibaka mtaani anatamba. Ikatojea tukio moja tu Dar, Wananchi wakamchoma moto kibaka. Polisi wakatangaza kuwa wananchi wenye hasira kali wamemchoma moto kibaka. Habari zikasikika nchi nzima, na huo ukageuka kuwa ndio utaratibu wa kushughulikia vibaka.

Na hata hii hali ya sasa, taratibu, polisi wasiofuata utaratibu wa kuwakamata watuhumiwa, wanaweza kuishia kuchomwa moto na wananchi, wakichukiliwa kuwa wanamteka mtuhumiwa.

Polisi lazima wabadilike, wafuate utaratibu. Wasipobadilika kwa hiari, watabadilishwa kwa nguvu, na kufikua huko kuna gharama watailipa.
 
Ni jambo jema kwa wananchi kulindana wao kwa wao. Lakini angalizo kwa serekali tumefikaje huku? Na je serikali inajua kweli tunakoelekea? Mzaha mzaha wa viongozi itafika mahali hii nchi itafika mahali sio pazuri.

Mimi naogopa sana tunakoelekea kwani yaliyotokea Mwanza ni dalili mbaya kabisa. Uongozi wa juu wa nchi hii ukiendelea kuziba masikio na kuamini kuwa vyombo vya dola ndio suluhisho hakika tusishangae yatakayokuja kutokea tena si muda mrefu. Hawa hawa watanzania wanonekana mafala leo ipo siku kila mtu atashika mdomo kwa watakachofanya kwani dalili ya mvua ni mawingu. Wataanza kidogo kidogo kuzuia magari hivyo baadaye watachukua maamuzi magumu.

Ombi langu kwa uongozi wa juu wa nchi chukueni hatua pale inapostahili ili wananchi warudishe imani kwa serikali yao na vyombo vya dola. Kwa mfano sasa hivi majambazi na wezi watakuwa wamepata chaka la kujifichia kwani askari hawataweza tena kufanya kazi kwa ufasaha kwa sababu watu wamekosa imani nao.
 
Wapo sahihi kabisa. Askari anayepaswa kufanya arresting anatakiwa awe amevaa uniform.
Inapendeza kuona watu wameanza kuamka na wanajitolea kusimamia utekelezwaji wa sheria na taratibu.
Wananchi waichukue hii PGO wakaisoma na kuielewa na kuisambaza kwa wananchi q ili waweze kuwasimamia vizuri Polisi katika utendaji wao.
Si
 
Tuliahasema humu huko mbeleni
Watu watakuwa wanachukua maamuzi wenyewe kujilinda

Alafu lazima waelewe anayeleta amani na utulivu ni mwananchi/watu na hao hao ndiyo wanaweza kuvuruga amani

Ova
 
Back
Top Bottom