Wananchi Mwanza wadaiwa kuzuia watu waliovalia kiraia kuondoka na watuhumiwa, waita Mkuu wa Kituo Pamba kuja kuwatambua

Tatzo unaiweka kisiasa sana mara chadema, hili ni la watanzania wote.
 
Ikiwezekana hata mapolisi pia wanapotaka kumuokoa mtu wao, wauwawe italeta heshima. Mwanangu siku akisema ndoto yake ni kuwa polisi ntamuua. Kazi ya laana ile.
 
Itoe Dar es Salaam Mkuu, watu wa Dar wako selfish sana hawawezi kuja kufanya hivo hata siku moja, haya mambo utayasikia mikoani tu......
Dar kila mtu anajiangalia yeye tu 🤣 hata watu waje wakupige wakuue hamna mtu atasogea kutaka kujua shida ni nini zaidi zaidi watarekodi video tu ila sio ku intervene
 
Sio Dawa...!

Kamanda anakuja kuwaangalia hao Watu huku akiwa tayari keshapigiwa simu toka huko Mawinguni, kwamba akakubari kwamba ni Vijana wake...!

Atawachukua Watu wake na Mtuhumiwa japo Mtuhumiwa hata Uawa.
 
Uniform iwe na Jina na Namba ya Askari. Pia Kuna haja ya kuwasindikiza watuhumiwa Hadi kituo husika.
 
Heko wana Mwanza kwa ujasiri mkiungana na CHADEMA tarehe 23 haya mambo ya utekaji yatakuwa historia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…