Wananchi Mwanza walalamika vigogo kupendelewa viwanja

πŸ˜„πŸ˜„ Luchelele Kule karibu na jembe ni jembe mtu ukipata kiwanja karibu na ziwani pako poa kishenzi,tatizo Ni barabara tu sijui Kama zineshatengenezwa.
Nilimsikia meya akizungumzia barabara ya luchelele, buhongwa-kishiri pamoja na mahina adi nile perch nyakato zitapigwa lami kuanzia mwaka huu wa fedha na alisema hayo alipokuwa akikagua ujenzi wa barabara ya mawe kutoka ndama igoma adi mhandu shule ya primary ya samia suluhu.
 
Hahah kwa kweli mkuu mimi Sina nilichoshangaa kwa kuona majina hayo ya wakuu,maeneo ya wanyonge hua yanajulikana tu waende huko wasije kuchafua mji kwa makazi duni.Hivi mkuu Kule mji mwema panahesabika Kama Isamilo au kwenyewe kunajitegemea?
 
Duh wakifanya hivyo ntatafuta kiwanja karibu na ziwani,Mwz napakubali kishenzi.πŸ™πŸ™ Mkuu.
 
Hahah kwa kweli mkuu mimi Sina nilichoshangaa kwa kuona majina hayo ya wakuu,maeneo ya wanyonge hua yanajulikana tu waende huko wasije kuchafua mji kwa makazi duni.Hivi mkuu Kule mji mwema panahesabika Kama Isamilo au kwenyewe kunajitegemea?
Naona ipo kata ya kitangiri ni sehemu ya kilimahewa.
 
Masuala ya kila jambo , wananchi wanalalamika huu ni ushamba sasa. ....japo pia nakubali kuna sabotage inafanyika lakin ifike wakati kila mwananchi apambane na uwezo wake .... maeneo kama isamilo,hata unguja , mirongo na pamba ni sura ya mji ,kuweka makazi ordinary ni kuharibu mji... nadhani ordinary people tusogeee luchelele , Kishiri au Mahina huko kikubwa watuwekee miundombinu mizuri
 
Duh wakifanya hivyo ntatafuta kiwanja karibu na ziwani,Mwz napakubali kishenzi.[emoji120][emoji120] Mkuu.
Kuna viwanja bei Chee beach front Kayenze , vinauzwa na manispaa changamkia fursa... huko nako vigogo wanakimbilia , maana nilimskia mkuu wa mkoa anapapigia debe
 
Bora hata wanapata fursa ya kulalamika,hapo awali ulikuwa huwezi kulalamika popote..

Wahusika chukueni hatua za kinidhamu kwa waliohusika.
 
Hawana hata aibu,Rais Samia mambo haya ndio yanakuchafua..

Fukuza huyo DED na batilisha huo mchakato.
 
Kuna viwanja bei Chee beach front Kayenze , vinauzwa na manispaa changamkia fursa... huko nako vigogo wanakimbilia , maana nilimskia mkuu wa mkoa anapapigia debe
Aisee nashukuru sana kwa hii taarifa mkuu,nitaishughulikia as soon as possible.πŸ™πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…