Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
Warekebishe nini? Ujinga wa polisi? Kwa matukio yanayoendelea yanaonyesha polisi ni timamu?JF mods rekebisheni kichwa cha habari hakifai.
Siasa hizi za kudogodesha watu mimi sizipendi.
Tufanye siasa safi wananchi wataelewa tu.
Yangu ni hayo tu.
TANZANIA YA NYUMA SIYO HII YA LEO CCM WANABIDI WAELEWE NA WABADILIKE KAMA WANAHITAJI KUENDELEA KUONGOZA HII NCHI LA SIVYO WATAUWA WANANCHI WOTE WABAKI PEKEYAOHawa watu vipi Hawa ? Mbona kama vichwan mwao wamejaza matope ? Hiki kizazi kilichopo Ndani ya Jeshi la Polisi mbona wanaujinga mwingi ?
Eehhh Wakuuu, hivi kabisa Hawa watu wako sawa vichwani ?
YAAN WAO WANAAMINI KUMKAMATA HECHE MBELE YA WATU NI KUWAOGOPESHA HAO WATU?.
inamaana hata Mikutano ya CHADEMA, haiwapi picha ya kua WANANCHI WANAHITAJI MABADILIKO??.
Yan kama walivyomkamata LISSU, mbinu ileile ndio walitaka kumkamata Heche ??.
Baada ya chadema kushika nchi hii, ni lazima jeshi la polisi lifumuliwe , lina vilaza wengi sana, hawa watu vyuoni wanafundishwa matumizi ya nguvu sana kuliko akili
Lile koboaji leo litanuna hatari, RPC wa mwanza ajiandae kisaiklojia kwa yatakayomsibu, wakobolewaji walio zamu ya leo wajiandae maana koboaji itakuwa limechafukwa huko lilipo na mwanae pimbi dullyHawa watu vipi Hawa ? Mbona kama vichwan mwao wamejaza matope ? Hiki kizazi kilichopo Ndani ya Jeshi la Polisi mbona wanaujinga mwingi ?
Eehhh Wakuuu, hivi kabisa Hawa watu wako sawa vichwani ?
YAAN WAO WANAAMINI KUMKAMATA HECHE MBELE YA WATU NI KUWAOGOPESHA HAO WATU?.
inamaana hata Mikutano ya CHADEMA, haiwapi picha ya kua WANANCHI WANAHITAJI MABADILIKO??.
Yan kama walivyomkamata LISSU, mbinu ileile ndio walitaka kumkamata Heche ??.
Baada ya chadema kushika nchi hii, ni lazima jeshi la polisi lifumuliwe , lina vilaza wengi sana, hawa watu vyuoni wanafundishwa matumizi ya nguvu sana kuliko akili
Chain of command ipo, and let me assure you. Kuna miongozo kabisa.Hivi kuna chain of command kwenye hizi taasisi za umma? Ni mbaya kama wote wana mtazamo mmoja kwenye yote haya na hivyo hakuna wa kuwajibika wala kumwajibisha mwingine.
Wewe ni kijana wa hovyo na huwa mara zote unakwepa hojaNawapongeza polisi kama wameshindwa kumchukua wakambebe usiku akiwa amelala
Nashukuru Mods wamejibu Ombi languMpaka sasa sijaona comment ya Bwana Erythrocyte
Kwamba?Nashukuru Mods wamejibu Ombi langu
Pole sana kizimkazi na kina majaliwa wakiwasimamisha wananchi kwa zaidi ya saa mbili kwenye misafara yao ni sawa ila chadema kusindikizwa na wafuasi wao inakuwa nongwa.Ninachokiona hapo ni wana CHADEMA kufunga barabara kuzuia watu wengine wasiendelee na shughuli zao za kibiashara na uchumi
Naona bodaboda na bajaj wenye abiria wanahangaika wapite wapi
Wana CHADEMA wameteka barabara
Polisi kuweni wakali tafadhali
Hapo Polisi mumekuwa wapole mno hamjawatendea haki watumiaji wengine wa barabara wanaoitumia kwa shughuli za kiuchumi,kibiashara ,kusafiri na wagonjwa nk
Hapo palitakiwa mvurumushe mabomu barabara ifunguke upesi na kutembeza virungu vya uhakika kwa walioteka barabara
Maneno ya hekima na yatokayo kwa mwanasiasa jasiri
Nikiandika nitapata ban bureNinachokiona hapo ni wana CHADEMA kufunga barabara kuzuia watu wengine wasiendelee na shughuli zao za kibiashara na uchumi