Sangamwalogesha
JF-Expert Member
- Mar 10, 2025
- 2,153
- 1,419
We ndio uvundo kabisa, mambwa nyie mmechòkaaHapa wazazi walizaa mavi ya uharoooo
We ndio uvundo kabisa, mambwa nyie mmechòkaaHapa wazazi walizaa mavi ya uharoooo
Polisiccm hawafanyi kazi kwa mjibu wa sheria bali wanafanya kazi kwa mjibu wa Amri haramu za kishetani toka ccmWarekebishe nini? Ujinga wa polisi? Kwa matukio yanayoendelea yanaonyesha polisi ni timamu?
Kilaza mkuu ni mama yao anayewatuma kufanya ujinga huu.Baada ya chadema kushika nchi hii, ni lazima jeshi la polisi lifumuliwe , lina vilaza wengi sana, hawa watu vyuoni wanafundishwa matumizi ya nguvu sana kuliko akili
Kaulize wakenya kilichowakuta Kenya polisi wajitia kufanya kazi kwa mujibu wa sheria wakati wa siasa za gen z ilibidi jeshi la ulinzi la Kenya iliingie mtaani baada ya kuona polisi wa kenya wako hopeless nchi inaangamia kwa wao kukomalia visheria uchwara vya PGO ohh PGO inasemaPolisiccm hawafanyi kazi kwa mjibu wa sheria bali hufanya kazi kwa mjibu wa fikra haramu za kishetani toka ccm
Polisiccm kwa sasa wanaitumia chadema kama daraja la kupata vyeo na sifa wakiwaonea kuwabambikia kesi hupandishwa vyeoNi hatari sana wajinga wanapotawala.
Dawa yao ni kuwasomea Albadiri wale Polisiccm wote wanaoshiriki vitendo haramu vya kishetaniKaulize wakenya kilichowakuta Kenya polisi wajitia kufanya kazi kwa mujibu wa sheria wakati wa siasa za gen z ilibidi jeshi la ulinzi la Kenya iliingie mtaani baada ya kuona polisi wa kenya wako hopeless nchi inaangamia kwa kuoomalia visheria uchwara vya PGO ohh PGO inasema
Jeshi likaingia kati kupiga mateke PGO zao Kenya sasa imetulia
Bado raia wengi ni waoga hata ukiangalia hapo wengi ni watazamaji tu yaani kama misukule flani hivi,hapo palikuwa na nafasi ya kutuma ujumbe zaidi ya huo Kwa watawala na vyombo vya dolaHawa watu vipi Hawa ? Mbona kama vichwan mwao wamejaza matope ? Hiki kizazi kilichopo Ndani ya Jeshi la Polisi mbona wanaujinga mwingi ?
Eehhh Wakuuu, hivi kabisa Hawa watu wako sawa vichwani ?
YAAN WAO WANAAMINI KUMKAMATA HECHE MBELE YA WATU NI KUWAOGOPESHA HAO WATU?.
inamaana hata Mikutano ya CHADEMA, haiwapi picha ya kua WANANCHI WANAHITAJI MABADILIKO??.
Yan kama walivyomkamata LISSU, mbinu ileile ndio walitaka kumkamata Heche ??.
Baada ya chadema kushika nchi hii, ni lazima jeshi la polisi lifumuliwe , lina vilaza wengi sana, hawa watu vyuoni wanafundishwa matumizi ya nguvu sana kuliko akili
Polisiccm kwa sasa hawafanyi kazi kwa mjibu wa katiba na sheria bali wanafanya kazi kwa mjibu wa Amri haramu za kishetani toka ccm na chawa wakeKilaza mkuu ni mama yao anayewatuma kufanya ujinga huu.
Mwanza Kuna wanaume wwNinachokiona hapo ni wana CHADEMA kufunga barabara kuzuia watu wengine wasiendelee na shughuli zao za kibiashara na uchumi
Naona bodaboda na bajaj wenye abiria wanahangaika wapite wapi
Wana CHADEMA wameteka barabara
Polisi kuweni wakali tafadhali
Hapo Polisi mumekuwa wapole mno hamjawatendea haki watumiaji wengine wa barabara wanaoitumia kwa shughuli za kiuchumi,kibiashara ,kusafiri na wagonjwa nk
Hapo palitakiwa mvurumushe mabomu barabara ifunguke upesi na kutembeza virungu vya uhakika kwa walioteka barabara
Tiba sahihi kwa watesi waonevu watekaji wanyanyasaji ni kumlilia mungu na pia kuwasomea visomo vikali kulujuani nyingi Alibadiri za kutosha kwa wale wote mnaoshiriki vitendo haramu vya kishetani na PolisiccmBdo raia
Bado raia wengi ni waoga hata ukiangalia hapo wengi ni watazamaji tu yaani kama misukule flani hivi,hapo palikuwa na nafasi ya kutuma ujumbe zaidi ya huo Kwa watawala na vyombo vya dola
Kwa Tanzania hii wamejitahidi bwana huwezi fananisha na wanaume wa darBdo raia
Bado raia wengi ni waoga hata ukiangalia hapo wengi ni watazamaji tu yaani kama misukule flani hivi,hapo palikuwa na nafasi ya kutuma ujumbe zaidi ya huo Kwa watawala na vyombo vya dola
Polisiccm walaaniwe kila kona laana ziwandameMwanza Kuna wanaume ww
Sio km wa dar ,pumbavu zenu
Ht lisu mlifanya songea ila mikoa km hii msingethibutu
Anayeua Kwa upanga naye auawe Kwa upanga mpaka aache hiyo tabia ya kuuza Kwa upangaTiba sahihi kwa watesi waonevu watekaji wanyanyasaji ni kumlilia mungu na pia kuwasomea visomo vikali kulujuani nyingi Alibadiri za kutosha kwa wale wote mnaoshiriki vitendo haramu vya kishetani na Polisiccm
Angalau Angalau,tutafika tuKwa Tanzania hii wamejitahidi bwana huwezi fananisha na wanaume wa dar
Keyboard motherfucker warrior.Ninachokiona hapo ni wana CHADEMA kufunga barabara kuzuia watu wengine wasiendelee na shughuli zao za kibiashara na uchumi
Naona bodaboda na bajaj wenye abiria wanahangaika wapite wapi
Wana CHADEMA wameteka barabara
Polisi kuweni wakali tafadhali
Hapo Polisi mumekuwa wapole mno hamjawatendea haki watumiaji wengine wa barabara wanaoitumia kwa shughuli za kiuchumi,kibiashara ,kusafiri na wagonjwa nk
Hapo palitakiwa mvurumushe mabomu barabara ifunguke upesi na kutembeza virungu vya uhakika kwa walioteka barabara
Akifanya Makala ni sawa... Ni nani Aliyewaroga nyie watu . Yaani CCM kwao kila kitu ni sawa akifanya mwengine shida ...Ninachokiona hapo ni wana CHADEMA kufunga barabara kuzuia watu wengine wasiendelee na shughuli zao za kibiashara na uchumi
Naona bodaboda na bajaj wenye abiria wanahangaika wapite wapi
Wana CHADEMA wameteka barabara
Polisi kuweni wakali tafadhali
Hapo Polisi mumekuwa wapole mno hamjawatendea haki watumiaji wengine wa barabara wanaoitumia kwa shughuli za kiuchumi,kibiashara ,kusafiri na wagonjwa nk
Hapo palitakiwa mvurumushe mabomu barabara ifunguke upesi na kutembeza virungu vya uhakika kwa walioteka barabara
Sijaona SABABU ya POLISCCM kutaka kumkamata HecheJambo nilonalo uhakika Hawa watu Vyeti vimejaa ma F F F na D 3
Makala hajui kujenga hoja ni mbumbumbu wa siasa anachojua ni kuwatuma Polisiccm wakawatese kuwanyanyasa chadema tuAkifanya Makala ni sawa... Ni nani Aliyewaroga nyie watu . Yaani CCM kwao kila kitu ni sawa akifanya mwengine shida ...