Wananchi Mwanza wazuia Jaribio la Jeshi la Polisi kutaka kumkamata John Heche

Ninachokiona hapo ni wana CHADEMA kufunga barabara kuzuia watu wengine wasiendelee na shughuli zao za kibiashara na uchumi

Naona bodaboda na bajaj wenye abiria wanahangaika wapite wapi

Wana CHADEMA wameteka barabara

Polisi kuweni wakali tafadhali

Hapo Polisi mumekuwa wapole mno hamjawatendea haki watumiaji wengine wa barabara wanaoitumia kwa shughuli za kiuchumi,kibiashara ,kusafiri na wagonjwa nk

Hapo palitakiwa mvurumushe mabomu barabara ifunguke upesi na kutembeza virungu vya uhakika kwa walioteka barabara
Bwahaaaa bwahaaaa, naona unaitisha ile nguvu yenu inayowapaga kura. Hilo ndio nyomi la kweli sasa. Sio lile nyomi la vitisho na watoto wa shule. Yaani naona umeumia vibaya. Jishangazi la kizenji leo haliwezi kulala😂😂😂
 
Ninachokiona hapo ni wana CHADEMA kufunga barabara kuzuia watu wengine wasiendelee na shughuli zao za kibiashara na uchumi

Naona bodaboda na bajaj wenye abiria wanahangaika wapite wapi

Wana CHADEMA wameteka barabara

Polisi kuweni wakali tafadhali

Hapo Polisi mumekuwa wapole mno hamjawatendea haki watumiaji wengine wa barabara wanaoitumia kwa shughuli za kiuchumi,kibiashara ,kusafiri na wagonjwa nk

Hapo palitakiwa mvurumushe mabomu barabara ifunguke upesi na kutembeza virungu vya uhakika kwa walioteka barabara
Barabara yenyewe Karne ya 21=nyembamba hivi,aibu hii mpak lini
 
Mwambieni Heche Tanzania sio kenya kwa wajaluo wenzie

Polisi kenya waneajiri wasomi lakini wasiojielewa

Ndio maana Gen Z walivamia na kuteka barabara, maduka kufungwa,Jengo la bunge kuvamiwa na wabunge kukimbuzwa kama vibaka na Gen z wakaenda bungeni wakalila hadi kiti cha Spika na kupora rungu la spika na kuliuza kama chuma chakavu na wakachoma jengo la mahakama ya rufaa huku hao polisi wao wasomi wakiwa wamekaa tu kama mabwege bila kuchukua hatua yeyote

Mwambieni Heche Tanzania kuna division zero wanaojielewa kuliko hao polisi wasomi wa Kenya when it comes kulinda usalama wa serikali ,bunge,mahakama na raia na mali zao na kuhakikisha shughuli za kibiashara, kiuchumi na kijamii zinaendelea un interrupted

We as Tanzanzians we a proud of our division zero police force na wataendelea kuajiriwa

Wewe uelewe pia uelewe hilo bwege wewe
Bado hujasema hadi useme. Hili nyomi naona limekukata ngebe unajiliza tu. Ukiona ccm wanategemea vyombo vya dola sio bure bali ni huu mziki. Na hatuko mbali na mabadiliko ya kweli. Mabadiliko yakifika yamefika.Ni hivi NRNE fullstop.
 
Ninachokiona hapo ni wana CHADEMA kufunga barabara kuzuia watu wengine wasiendelee na shughuli zao za kibiashara na uchumi

Naona bodaboda na bajaj wenye abiria wanahangaika wapite wapi

Wana CHADEMA wameteka barabara

Polisi kuweni wakali tafadhali

Hapo Polisi mumekuwa wapole mno hamjawatendea haki watumiaji wengine wa barabara wanaoitumia kwa shughuli za kiuchumi,kibiashara ,kusafiri na wagonjwa nk

Hapo palitakiwa mvurumushe mabomu barabara ifunguke upesi na kutembeza virungu vya uhakika kwa walioteka barabara
Unachokiona ww na akili zako zilizojaa moshi
 
Hizo hizo mtu chake
Viongozi wanapofunga barabara ili wakazindue matundu ya vyoo mbona hujilizi, au haya maumivu ya hili nyomi yamekuvuruga? Ulidhani zile press zitawapotezea watu focus? Wachaga wanawalia hela za bure, mbinu za kizee haziwezi kuiua cdm. Tena msiombe wafuasi wa cdm wakapafa akili ya kushika silaha, mtajuta kwanini mlichelewa kukubali mabadiliko.
 
Hawa watu vipi Hawa ? Mbona kama vichwan mwao wamejaza matope ? Hiki kizazi kilichopo Ndani ya Jeshi la Polisi mbona wanaujinga mwingi ?

Eehhh Wakuuu, hivi kabisa Hawa watu wako sawa vichwani ?

YAAN WAO WANAAMINI KUMKAMATA HECHE MBELE YA WATU NI KUWAOGOPESHA HAO WATU?.

inamaana hata Mikutano ya CHADEMA, haiwapi picha ya kua WANANCHI WANAHITAJI MABADILIKO??.

Yan kama walivyomkamata LISSU, mbinu ileile ndio walitaka kumkamata Heche ??.

Baada ya chadema kushika nchi hii, ni lazima jeshi la polisi lifumuliwe , lina vilaza wengi sana, hawa watu vyuoni wanafundishwa matumizi ya nguvu sana kuliko akili

Polisi wa Tanzania ni wendawazimu wa Samia!
 
Ninachokiona hapo ni wana CHADEMA kufunga barabara kuzuia watu wengine wasiendelee na shughuli zao za kibiashara na uchumi

Naona bodaboda na bajaj wenye abiria wanahangaika wapite wapi

Wana CHADEMA wameteka barabara

Polisi kuweni wakali tafadhali

Hapo Polisi mumekuwa wapole mno hamjawatendea haki watumiaji wengine wa barabara wanaoitumia kwa shughuli za kiuchumi,kibiashara ,kusafiri na wagonjwa nk

Hapo palitakiwa mvurumushe mabomu barabara ifunguke upesi na kutembeza virungu vya uhakika kwa walioteka barabara
Sehemu yoyote yenye mwingiliano wa watu hutokea hayo kwasababu. Mbona ya ccm hayasemwi? Subirini mfanye mikutano yenu.
 
Ingekuwa Dar es Salaam angekamatwa. Wanaume wa Dar wanafeli sana.
 
Mwambieni Heche Tanzania sio kenya kwa wajaluo wenzie

Polisi kenya waneajiri wasomi lakini wasiojielewa

Ndio maana Gen Z walivamia na kuteka barabara, maduka kufungwa,Jengo la bunge kuvamiwa na wabunge kukimbuzwa kama vibaka na Gen z wakaenda bungeni wakalila hadi kiti cha Spika na kupora rungu la spika na kuliuza kama chuma chakavu na wakachoma jengo la mahakama ya rufaa huku hao polisi wao wasomi wakiwa wamekaa tu kama mabwege bila kuchukua hatua yeyote

Mwambieni Heche Tanzania kuna division zero wanaojielewa kuliko hao polisi wasomi wa Kenya when it comes kulinda usalama wa serikali ,bunge,mahakama na raia na mali zao na kuhakikisha shughuli za kibiashara, kiuchumi na kijamii zinaendelea un interrupted

We as Tanzanzians we a proud of our division zero police force na wataendelea kuajiriwa

Wewe uelewe pia uelewe hilo bwege wewe
Aiseee division sifuri
 
Weng wao sio raia wa Tanzania wamefoji vitambulisho vya uraia wanatoka Kenya wakibanwa wanakuwa deported kenya

Watulie wasione watanzania wajinga kuwapa vitambulisho vya NIDA wasimwamshe Mtanzania aliyelala akiamka watalala wao

Wamepata vitambulisho vya NIDA watulie wakae mbali na siasa au any post ya public hakuna mtu atawasumbua wataishi generations bila kusumbuliwa

Waachane na siasa za Tanzania uzuri wanajua kabisa wana ndugu zao kenya .Mguu mmoja mwanza mguu mwingine kenya
Uchawaa kazii balaaa
 
Hawa watu vipi Hawa ? Mbona kama vichwan mwao wamejaza matope ? Hiki kizazi kilichopo Ndani ya Jeshi la Polisi mbona wanaujinga mwingi ?

Eehhh Wakuuu, hivi kabisa Hawa watu wako sawa vichwani ?

YAAN WAO WANAAMINI KUMKAMATA HECHE MBELE YA WATU NI KUWAOGOPESHA HAO WATU?.

inamaana hata Mikutano ya CHADEMA, haiwapi picha ya kua WANANCHI WANAHITAJI MABADILIKO??.

Yan kama walivyomkamata LISSU, mbinu ileile ndio walitaka kumkamata Heche ??.

Baada ya chadema kushika nchi hii, ni lazima jeshi la polisi lifumuliwe , lina vilaza wengi sana, hawa watu vyuoni wanafundishwa matumizi ya nguvu sana kuliko akili

Kwa video hii, ifikie mahali viongozi wakuu wa vyombo vya dola; IGP, DGIS,na CDF wamshauri rais Samia kufanya mchakato wa katiba mpya.
Maana tunakoelekea watalazimika kufanya mabadiliko, hali ambayo inaweza kuwa imetutia hasara kama Taifa.
Mungu Ibariki Tanzania yetu.
Amina.
 
Ninachokiona hapo ni wana CHADEMA kufunga barabara kuzuia watu wengine wasiendelee na shughuli zao za kibiashara na uchumi

Naona bodaboda na bajaj wenye abiria wanahangaika wapite wapi

Wana CHADEMA wameteka barabara

Polisi kuweni wakali tafadhali

Hapo Polisi mumekuwa wapole mno hamjawatendea haki watumiaji wengine wa barabara wanaoitumia kwa shughuli za kiuchumi,kibiashara ,kusafiri na wagonjwa nk

Hapo palitakiwa mvurumushe mabomu barabara ifunguke upesi na kutembeza virungu vya uhakika kwa walioteka barabara
CCM tukiwa tunaandamana kupongeza viongozi wetu huwa hatuzuii watumiaji wengine wa barabara?
 
Hawa watu vipi Hawa ? Mbona kama vichwan mwao wamejaza matope ? Hiki kizazi kilichopo Ndani ya Jeshi la Polisi mbona wanaujinga mwingi ?

Eehhh Wakuuu, hivi kabisa Hawa watu wako sawa vichwani ?

YAAN WAO WANAAMINI KUMKAMATA HECHE MBELE YA WATU NI KUWAOGOPESHA HAO WATU?.

inamaana hata Mikutano ya CHADEMA, haiwapi picha ya kua WANANCHI WANAHITAJI MABADILIKO??.

Yan kama walivyomkamata LISSU, mbinu ileile ndio walitaka kumkamata Heche ??.

Baada ya chadema kushika nchi hii, ni lazima jeshi la polisi lifumuliwe , lina vilaza wengi sana, hawa watu vyuoni wanafundishwa matumizi ya nguvu sana kuliko akili

lazima jeshi la polisi lifumuliwe , lina vilaza wengi sana, hawa watu vyuoni wanafundishwa matumizi ya nguvu sana kuliko akili
 
CCM tukiwa tunaandamana kupongeza viongozi wetu huwa hatuzuii watumiaji wengine wa barabara?
Wao waliomba kibali cha maandamano au mkutano wa hadhara?

Usochanganye mambo .Wao ulikuwa mkutano wa hadhara sio maandamano
Na wewe kichwani hazimo mwana CCM koko wewe
Ondoka CCM nenda CHADEMA
 
Back
Top Bottom