Wananchi Mwanza wazuia Jaribio la Jeshi la Polisi kutaka kumkamata John Heche

Kwa video hii, ifikie mahali viongozi wakuu wa vyombo vya dola; IGP, DGIS,na CDF wamshauri rais Samia kufanya mchakato wa katiba mpya.
Maana tunakoelekea watalazimika kufanya mabadiliko, hali ambayo inaweza kuwa imetutia hasara kama Taifa.
Mungu Ibariki Tanzania yetu.
Amina.
ccm magu hawamtaki mama walichokifanya ni kumchuuza afanye mambo ya hovyo wapate kisingizio cha kumwengua nafasi kugombea Urais
 
Ndoto za mchana hizo unaota
CCM ilishamaliza kazi
 
Wao waliomba kibali cha maandamano au mkutano wa hadhara?

Usochanganye mambo .Wao ulikuwa mkutano wa hadhara sio maandamano
Na wewe kichwani hazimo mwana CCM koko wewe
Ondoka CCM nenda CHADEMA
Kisheria huwa hakuna kuomba kibali polisi kinachotakiwa ni kuwapa taarifa polisi tu, lakini siku hizi Polisiccm wamejipa mamlaka kienyeji kimyume cha katiba kuwa wao ndiyo watoa vibali vya mikutano, Polisiccm wanafanya mambo ya hovyo sana
 
Polisiccm kwa sasa chadema ndiyo daraja lao la kupatia vyeo , wanajua kadri wanavyowanyanyasa chadema ndivyo huongezwa vyeo na posho
 
Polisiccm hawafanyi kazi kwa mjibu wa Sheria bali wanafanya kazi kwa mjibu wa Amri haramu za kishetani toka kwa makala na chawaccm
 
Kisheria huwa hakuna kuomba kibali polisi kinachotakiwa ni kuwapa taarifa polisi tu, lakini siku hizi Polisiccm wamejipa mamlaka kienyeji kimyume cha katiba kuwa wao ndiyo watoa vibali vya mikutano, Polisiccm wanafanya mambo ya hovyo sana
Kama unaandamana porini kusiko na watu huhitaji kibali

Lakini kama unaandamana barabarani .Kuna sheria ya usalama barabarani
Barabara zetu hazikujengwa kwa ajili.ya maandamano .Hivyo utajitaji kibali kuzitumia.Huwezi ingia tu kama mwehu na kuanza kuandamana kwenye Barabara ya magari

Usisome kisheria kimoja tu na kuivalia njuga soma pamoja na zingine
 
Polisiccm kwa sasa chadema ndiyo daraja lao la kupatia vyeo , wanajua kadri wanavyowanyanyasa chadema ndivyo huongezwa vyeo na posho
Tii sheria bila shuruti uone kama vyeo hawawezi kupanda.Polisi wameanza kupanda vyeo hata kabla ya CHADEMA kuwepo mjinga wewe.

Kukiwa na amani na utulivu bila kuweko hata mhalifu mmoja .Vyeo vyao hupanda
 
🚮🚮🚮💩💩💩
 
Tii sheria bila shuruti uone kama vyeo hawawezi kupanda.Polisi wameanza kupanda vyeo hata kabla ya CHADEMA kuwepo mjinga wewe
Wewe ndiyo mjinga kilaza mkubwa sheria zipi za kutii wakati chadema hawajavunja sheria zozote wanafanya mikutano kwa Amani nyie wavuta Bangi na Polisiccm ndiyo mnaenda kuwafanyia fujo ili mpate kisingizio cha kuwabambikia kesi haramu za kishetani
 
Mkutano wa amani ni pamoja na hotuba.za amani sio uchochezi

Vinginevyo unashushwa kwenye jukwaa na kuonyeshwa cha mtema kuni
Amani ni hadi jukwaani kwa wahutubiaji.Sio kwa wasikilizaji waliotulia tuli tu
 
Tii sheria bila shuruti uone kama vyeo hawawezi kupanda.Polisi wameanza kupanda vyeo hata kabla ya CHADEMA kuwepo mjinga wewe.

Kukiwa na amani na utulivu bila kuweko hata mhalifu mmoja .Vyeo vyao hupanda
Hakuna mabaya yasiyo na mwisho, walikuwepo madikiteta wabaya hatari akina Bokasa, mabutu, iddy Amin Dada, Elibashiri makaburu wa Africa kusini leo wapo wapi?
 
Tafuta hela badala ya kushinda 8nawaza upumbavu wa CHADEMA .Utaehuka wewe

Kichaa kinakunyemelea
Tanzania ni tofauti na kote huko ulikotaja
 
Mkutano wa amani ni pamoja na hotuba.za amani sio uchochezi

Vinginevyo unashushwa kwenye jukwaa na kuonyeshwa cha mtema kuni
Amani ni hadi jukwaani kwa wahutubiaji.Sio kwa wasikilizaji waliotulia tuli tu
Usiwapangie chadema cha kuongea kwani lazima wahubiri mabaya yenu ushetani wenu wote ingawa kwa Akili zenu za hovyo mnauita eti ni uchochezi , kuongelea uonevu manyanyaso utekaji wa Polisiccm ni uchochezi? Kama mnataka maneno mazuri acheni Udikiteta acheni kuwatesa kuwaonea kuwanyanyasa chadema
 
Hawa watu vipi Hawa ? Mbona kama vichwan mwao wamejaza matope ? Hiki kizazi kilichopo Ndani ya Jeshi la Polisi mbona wanaujinga mwingi ?

Eehhh Wakuuu, hivi kabisa Hawa watu wako sawa vichwani ?

YAAN WAO WANAAMINI KUMKAMATA HECHE MBELE YA WATU NI KUWAOGOPESHA HAO WATU?.

inamaana hata Mikutano ya CHADEMA, haiwapi picha ya kua WANANCHI WANAHITAJI MABADILIKO??.

Yan kama walivyomkamata LISSU, mbinu ileile ndio walitaka kumkamata Heche ??.

Baada ya chadema kushika nchi hii, ni lazima jeshi la polisi lifumuliwe , lina vilaza wengi sana, hawa watu vyuoni wanafundishwa matumizi ya nguvu sana kuliko akili

Hapa igoma?
 
Kama unaandamana porini kusiko na watu huhitaji kibali

Lakini kama unaandamana barabarani .Kuna sheria ya usalama barabarani
Barabara zetu hazikujengwa kwa ajili.ya maandamano .Hivyo utajitaji kibali kuzitumia.Huwezi ingia tu kama mwehu na kuanza kuandamana kwenye Barabara ya magari

Usisome kisheria kimoja tu na kuivalia njuga soma pamoja na zingine
Marekani na uingereza wanaansmana barabarani mbona? We una matope kichwani
 
Tafuta hela badala ya kushinda 8nawaza upumbavu wa CHADEMA .Utaehuka wewe

Kichaa kinakunyemelea
Tanzania ni tofauti na kote huko ulikotaja
Pesa haitafutwi kwenye mazingira ya uonevu manyanyaso na mateso ya Polisiccm na wewe kichaa mvuta bangi, pesa inatafutwa pasipo na vitendo haramu vya kishetani kama vya Polisiccm
 
Marekani na uingereza wanaansmana barabarani mbona? We una matope kichwani
Marekani na Uingereza sio Tanzania
Tanzania sio photocopy ya uingereza wala marekani ndio maana hata majina ya nchi zetu yako tofauti wao wanaitwa uingereza na marekani sisi tunaitwa Tanzania
 
Back
Top Bottom