Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,459
- 100,799
Kila MTU anaona anachokitaka, wewe hata ukisema hapo unawaona Wana CCM Tu wakiwa wamevalia uniform za Polisi ni Sawa kabisa. Kila mtu ana ubongo wake ila wenzetu nyie wachache mmeamua kutumia makalio kufikiriaNinachokiona hapo ni wana CHADEMA kufunga barabara kuzuia watu wengine wasiendelee na shughuli zao za kibiashara na uchumi
Naona bodaboda na bajaj wenye abiria wanahangaika wapite wapi
Wana CHADEMA wameteka barabara
Polisi kuweni wakali tafadhali
Hapo Polisi mumekuwa wapole mno hamjawatendea haki watumiaji wengine wa barabara wanaoitumia kwa shughuli za kiuchumi,kibiashara ,kusafiri na wagonjwa nk
Hapo palitakiwa mvurumushe mabomu barabara ifunguke upesi na kutembeza virungu vya uhakika kwa walioteka barabara