Wananchi Simiyu wawajengea walimu nyumba za matope

Bora hata hizo za matope kuna walimu wanalala kwenye madarasa
Ualimu ni kazi ya kichoko hakuna
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mkuu bora choko kuliko ticha manina [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
View attachment 2712893
HABARI Wananchi wa Kitongoji cha Ihula kilichopo Kata ya Gibishi Halmashauri ya wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu wameamua kujenga nyumba za tope ili kuwawezesha Walimu kuishi jirani na shule.

Wananchi hao wamesema walimu wakiwa karibu na mazingira ya shule wanao uhakikia wa kuwahi hususani vipindi vya asubuhi hivyo kuwawezesha watoto wao kuanza kufundishwa mapema.

"Tumeamua tujenge nyumba ili watoto wetu wapate huduma ya kufundishwa, hatuna nguvu ya kuwajengea nyumba ya block ndio maana tukaamua tujenge nyumba ya tope ili wasogee huku," amesema Loli Machama ambaye ni mwananchi
NAWAPONGEZA sana hao Wananchi kwa Kujenga hizo nyumba
Mkuu wa Mkoa yupo Mkurugenzi wa hiyo Wilaya yupo Mbunge wa hilo Jimbo yupo wote Wameshindwa NCHI INAKOPA KILA KUKICHA NCHI INAKUSANYA MATOZO NCHI INA TMRASLIMALI LUKUKI
CCM IPO MADARAKANI MIAKA 61 LAKINI WALIMU WANAJENGEWA TENA NA MASIKINI WALIPA KODI NYUMBA ZA UDONGO CCM OYEEE
 
View attachment 2712893
HABARI Wananchi wa Kitongoji cha Ihula kilichopo Kata ya Gibishi Halmashauri ya wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu wameamua kujenga nyumba za tope ili kuwawezesha Walimu kuishi jirani na shule.

Wananchi hao wamesema walimu wakiwa karibu na mazingira ya shule wanao uhakikia wa kuwahi hususani vipindi vya asubuhi hivyo kuwawezesha watoto wao kuanza kufundishwa mapema.

"Tumeamua tujenge nyumba ili watoto wetu wapate huduma ya kufundishwa, hatuna nguvu ya kuwajengea nyumba ya block ndio maana tukaamua tujenge nyumba ya tope ili wasogee huku," amesema Loli Machama ambaye ni mwananchi
Kwa maisha ya kijijini mwalimu kushindwa kujenga ni uzembe tu.

Sometimes walimu kupenda kujiendekeza, maana 3M unajikuta umejenga kinyumba chenye mazingira shwari.
 
View attachment 2712893
HABARI Wananchi wa Kitongoji cha Ihula kilichopo Kata ya Gibishi Halmashauri ya wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu wameamua kujenga nyumba za tope ili kuwawezesha Walimu kuishi jirani na shule.

Wananchi hao wamesema walimu wakiwa karibu na mazingira ya shule wanao uhakikia wa kuwahi hususani vipindi vya asubuhi hivyo kuwawezesha watoto wao kuanza kufundishwa mapema.

"Tumeamua tujenge nyumba ili watoto wetu wapate huduma ya kufundishwa, hatuna nguvu ya kuwajengea nyumba ya block ndio maana tukaamua tujenge nyumba ya tope ili wasogee huku," amesema Loli Machama ambaye ni mwananchi
Nyiee
 
Asilimia 90% ya nyumba wanazojenga wananchi zipo hivyo hata singida hizo nyumba zipo tele
 
wananchi kitongoji cha Ihula kilichopo kata ya Gibishi halmashauri ya wilaya ya Bariadi

wananchi haao wamesema walimu wakiwa karibu na mazingiira ya shule wanao uhakika wa kuwahi hasa vipindi vya asubuhi hivyo wanawezesha watoto wao kuanza kufundishwa mapema
"Tumeamua tujengae nyumba ili watoto wetu wapate huduma ya kufundishwa, hatuna nguvu hatuna nguvu ya kuwajengea nyumba ya block ndio maana tukaamua kuwajengea nyumba ya tope ili wasogee huku"amesema Loli Machame ambaye ni mwananchi

#EAST_AFRICA_TV

Tusibeze hili,Angalia nia na wazo lao ni superb.
 
Kauli ya dada rango
IMG_0138.jpg
 
Back
Top Bottom