Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,558
- 7,935
Wananchi tujitokeze kwa wingi kuwapigia kura mafisadi barabarani, ikulu, na bungeni,
Sisi tutawapa kura za kutosha kama wanavyotaka.
Sisi tutawapa kura za kutosha kama wanavyotaka.
Tunataka maisha bora kwa kizazi kijacho, mabadiliko ni “Lazima”Ndiyo!
Ili waache kututeka, kututesa, kutunyanyasa, kutuua....
Wabaki madarakani, wauze maliasili na rasilimali zote, washibe, wao na familia zao waishi KIFALME!