Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 19,362
- 48,879
Hizo taratibu zinafahamika kwa maana kwamba zipo kishetia, kikanuni au ni watu tuwanajiamlia kwa kujiona kuwa wanaweza kufanya chochote kadiri watakavyo?Serikali ina utaratibu wake wa kufanya mambo yake, nadhani hata ukienda ikulu uatajibiwa hivyo.