Wananchi tuna haki kufahamu alipo Makamu wa Rais Philip Mpango

Mimi Ninahisi yata tokea kama yailyo tokea kwa aliyekuwa Mpendwa wa Watu na Mtetezi wa Wanyonge RIP Magufuli tungojee hiyo sinema ya kutisha mwisho wake itakwishaje? Hii ni Sirikali siyo Serikali.


Your browser is not able to display this video.
 
Viongozi wetu wote ikifika ni muda wa kuongea na wananchi lazima waandaliwe maelezo. Hua hawajipangii tuache kumlaumu PM
Viongozi wote huandaliwa speach hata Nyerere aliandaliwa kikubwa ni wewe unaye present hiyo speach kujua Ina mashiko kwa hadhira inayokusikiliza, kwani yeye ni robot ambaye kazi yake ni kusoma chochote
 
Nimecomment mkuu sijaquote MTU.Hivyo inamhusu mleta mada....afu nimeanza Likizo nipe location Boss😉
mkuu karibu sana sana kwetu. just panda gari la mwendokasi, ukishuka tu ulizia kwa Msanii, unafikishwa chap kwa haraka😅😅😅😅 (kidding)

ngoja niangalie Google hapa nijue nipo wapi kisha fungua inbobo
 
Sivyo kama unavyofikiri mambo ya kiusalama wa kitaaifa kuna mambo yanaenda na utaratibu wake
 
Sivyo kama unavyofikiri mambo ya kiusalama wa kitaaifa kuna mambo yanaenda na utaratibu wake
Hivi umewahi kujiuliza kwamba elimu na ujuzi wa kiintelejensia vimetokea wapi? vimeasisiwaje? nani ndiyo guru wa hayo mbambo?

Usichokijua ni kwamba, wapo watu wana ujuzi wa masuala ya kiusalama bila hata kupewa mafunzo.

Msitufanye wananchi kwamba ni mapoyoyo
 
Kweli Mkuu, umenena vyema sana
 
Hakuna haja ya ombi ni haki yetu kuwa na taarifa ya kiongozi wa kitaifa.
Ni wakati sasa wa kuandamana kulazimisha yule mzinzi mvunja ndoa za watu na muongo majaliwa atuachie ofisi zetu haraka. Alidanganya kuhusu JPM! likitokea lolote kwa VP tumfurushe kutoka ofisini akale panya huko ruangwa!
 
Mmemkosa kwenye radar zenu, mnataka kumpiga kibomu cha moshi (smoke) nini?, Waziri Mkuu ashasema yupo ngambo kikazi kipi kina ku washa washa?
Hiyo ngambo ndio ipi ambako WaTanzania na Balozi zetu hazipo!?
Matuona ka manyani vile yanaruka porini!
Si wqseme kitu kieleweke !
 
Kama hautaki kutangazwa basi zisitumike pesa zetu kukutibu.
tunaweza kutangaziwa kwamba anaumwa na si lazima waseme ugonjwa gani.

Nahisi sehemu kubwa ya waliomo serikalini ni zombiez kuliko sisi raia😀
Ya kutangazia umma kwamba kiongozi flani anaumwa sio tatizo kabisa ,shida kutangazia watu anaumwa ungonjwa gani ndo kinyume labda yeye mwenyewe awe ameruhusu
 
Huu ni uzalilishaji sasa, au Mlimuingiza kwenye mtego wenyewe na sasa mnataka muangushia jumba bovu
 
Upo nje ya content we tambua tu ofisi ya rais, taasisi zote za kiusalama nchini hazikurupuki kutoa taarifa hovyo hasa sikuhusiana na kiongozi mkubwa wa nchi zinazingatia mambo mengi sio kwa namna ya utashi wako unavyojidanaganya, unahisi una ufahamu mpana sana kwenye taasisi ya kiintelejensia?
 
Kwa hiyo afya ya kiongozi ni high confidencial.
 
Na huu ndio ukweli, watu wanamjia juu waziri mkuu utadhani yeye anaongea tuu bila kupewa kauli, ni mara ngapi rais hata awamu zilizopita anamuapisha mtu ambaye sio sahihi, lawama zinaenda kwa rais wakati sio kila mtu anapitishwa na rais
ILA NI kweli.waziri mkuu anapewa taarifa ya kusema haoti.ila nashauri na YEYE awe anajiridhisha na anachopewa kusema ili aepuke lawama za wananchi.ni mawzo yangu Tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…