Dada yangu Mh Tulia kwa heshima kubwa nakuomba ulinde masilahi ya nchi japo hata kwa hili moja utakumbukwa na vizazi kwa mema km Mpina kasema yaliyo kweli huyo bashe dili nae kibabe kulinda heshima yako na Bunge letu.
 
Yani viongozi wa hii nchi niwa hovyo sana yani tayari weshahukumj kuwa mpina ana makosa!!!! Badala waunde kamati wachunguze lisemwalo, yani viongozi wa tz hawataki kabisa watu wakweli sasa sijui tunatengeneza kizazi cha namna gani hapa yani ni uwongo uwongo na ujanja ujanja!!!!
 
Bila ya kujali itikadi, sote wananchi tuungane ktk uzi huu kulaani kwa kauli moja uonevu wa spika dhidi ya Mpina...
Hakuna cha uonezi hapo. Alitaka tuendelee kununua sukari kwa shs 6000 plus? Anatumika tu kuwatetea wamiliki wa viwanda vya sukari waliogoma kuagiza sukari ya kuziba gap.
 
Hofu yangu ni kuwa kama ile agenda ya DPW ilipita, sidhani kama ile kamati iliyoundwa na spika itakuja na jipya. Maana kwenye hotuba yake spika ni kama amemhukumu moja kwa moja Mpina kama mkosaji. Ila ameamua kuunda kamati kama geresha tu.
 
Mkuu huyo Mpina akienda front seat utamsahau .
 
Hata saa mbovu kuna wakati inakuwa sahihi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…