Wananchi tuwe makini tunapochagua viongozi. Huyu anayejipiga picha na taulo naye alikuwa Diwani?

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
23,683
Reaction score
55,898
Tuchague watu wenye maadili mema katika jamii. Huyu mtu anautafuta uzee lakini anafanya mambo ya mtoto wa darasa la 3. Vipi alipokuwa chini ya umri wa sasa akili yake ilikuwaje?

Huyu jamaa aliwahi kuwa Diwani wa kata ya Mwanga Kaskazini mkoani Kigoma. Najiuliza, wananchi waliona nini cha kiuongozi toka kwa mtovu huyu wa maadili?

Kwa utovu huu wa maadili ni dhahiri kwamba huyu mtu hakustahilli hata chembe kuwa kiongozi.

Screenshot_20221227-115530.png
 
Tuchague watu wenye maadili mema katika jamii. Huyu mtu autafuta uzee lakini anafanya mambo ya mtoto wa darasa la 3. Vipi alipokuwa chini ya umri wa sasa akili yake ilikuwaje?

Huyu jamaa aliwahi kuwa Diwani wa kata ya Mwanga Kaskazini mkoani Kigoma. Najiuliza, wananchi waliona nini cha kiuongozi toka kwa mtovu huyu wa maadili?

Kwa utovu huu wa maadili ni dhahiri kwamba huyu mtu hakustahilli hata chembe kuwa kiongozi.

View attachment 2459923
Hakuna tatizo lolote mtu kupiga picha na taulo, hivi ndivyo wengi wetu tunavyo vaa tunapokwenda bafuni maeneo ya uswazi. Kuna tofauti gani mtu kuvaa taulo na kuvaa msuli?. Tena afadhali taulo ni nzito hata yule jamaa akichachamaa taulo inamtuliza, angevaa msuli?.
P
 
😁😁😀
 
Mmh! Mkuu lakini naona huyu kavuka mipaka. Katupia selfie ya taulo mitandaoni.
 
Tuchague watu wenye maadili mema katika jamii. Huyu mtu autafuta uzee lakini anafanya mambo ya mtoto wa darasa la 3. Vipi alipokuwa chini ya umri wa sasa akili yake ilikuwaje?

Huyu jamaa aliwahi kuwa Diwani wa kata ya Mwanga Kaskazini mkoani Kigoma. Najiuliza, wananchi waliona nini cha kiuongozi toka kwa mtovu huyu wa maadili?

Kwa utovu huu wa maadili ni dhahiri kwamba huyu mtu hakustahilli hata chembe kuwa kiongozi.

View attachment 2459923
Wananchi walikurupuka,
 
MKuu unamkumbuka rais wa Croatia? Anapiga picha kavaa bikini tu,

Huyo labda mkimpa tena udiwani ataacha kuvaa hivyo.

😎
 
Back
Top Bottom