- Thread starter
- #21
Tena huyu alipaswa kuwa Milembe kabisa ( by mzee Diallo).Tz kama vetting ingekuwa inafanywa hata Magu asingekuwa Rais
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena huyu alipaswa kuwa Milembe kabisa ( by mzee Diallo).Tz kama vetting ingekuwa inafanywa hata Magu asingekuwa Rais
alipiga sarakas kwa kuvamiwa na wapumbavu wa ccm majiz ya kuraMbona Munyekiti yeye alipiga bapa mpaka akapiga sarakasi kwenye ngazi.
rais wa croatia hakuwahi kuvaa bikin labda kama fake news zilikukumba hapo sawa.MKuu unamkumbuka rais wa Croatia? Anapiga picha kavaa bikini tu,
Huyo labda mkimpa tena udiwani ataacha kuvaa hivyo.
😎
hio ni fake news kumbe iliwakumba wengi.Mkuu wazungu kwa upande wa maadili wako hovyo sana. Ndiyo hao hao wanaoupigia chapuo ushoga pia.
View attachment 2459957
Nini waziri, iliwahi tokea hadi rais kabisa. Maulana akatuponya.Tuliwahi kuwa na waziri kichaa
Upo sana nyuma ya muda.rais wa croatia hakuwahi kuvaa bikin labda kama fake news zilikukumba hapo sawa.
Dawa ya UvccmMkuu wazungu kwa upande wa maadili wako hovyo sana. Ndiyo hao hao wanaoupigia chapuo ushoga pia.
View attachment 2459957
[emoji23][emoji23] Ukisikia shida haina adabu ndio kama hivi ,[emoji23][emoji23]Tuchague watu wenye maadili mema katika jamii. Huyu mtu anautafuta uzee lakini anafanya mambo ya mtoto wa darasa la 3. Vipi alipokuwa chini ya umri wa sasa akili yake ilikuwaje?
Huyu jamaa aliwahi kuwa Diwani wa kata ya Mwanga Kaskazini mkoani Kigoma. Najiuliza, wananchi waliona nini cha kiuongozi toka kwa mtovu huyu wa maadili?
Kwa utovu huu wa maadili ni dhahiri kwamba huyu mtu hakustahilli hata chembe kuwa kiongozi.
View attachment 2459923
Cheti feki hakina uwezo wa kumtambua kiongozi bora.Tz kama vetting ingekuwa inafanywa hata Magu asingekuwa Rais
Absolutely.Tz kama vetting ingekuwa inafanywa hata Magu asingekuwa Rais
Waha wamanyema huwa wapumbavu sana,samahani kama wewe ni wa manyovu.Hahaha! Unataka kusema baada ya kupata uongozi ndiyo akaanza kuvuta mibange!!??
Unaijua sababu ya jiwe kumuua Ben Sa8? Jiwe ataunguzwa mpk majivu yake huko jehanamuCheti feki hakina uwezo wa kumtambua kiongozi bora.
Huyu ni pumbafu sana, so stupidTuchague watu wenye maadili mema katika jamii. Huyu mtu anautafuta uzee lakini anafanya mambo ya mtoto wa darasa la 3. Vipi alipokuwa chini ya umri wa sasa akili yake ilikuwaje?
Huyu jamaa aliwahi kuwa Diwani wa kata ya Mwanga Kaskazini mkoani Kigoma. Najiuliza, wananchi waliona nini cha kiuongozi toka kwa mtovu huyu wa maadili?
Kwa utovu huu wa maadili ni dhahiri kwamba huyu mtu hakustahilli hata chembe kuwa kiongozi.
View attachment 2459923
Yaani mwendawazimuHuyu ni pumbafu sana, so stupid
In reality, hujui hata unaongea kuhusu nin!.Unaijua sababu ya jiwe kumuua Ben Sa8? Jiwe ataunguzwa mpk majivu yake huko jehanamu
hata raisi kichaa tulishawahi kuwa naeTuliwahi kuwa na waziri kichaa
Jiwe muuaji. Hutaki?In reality, hujui hata unaongea kuhusu nin!.
Then you can't even prove this nonsense you wrote.