Hakuna tatizo lolote mtu kupiga picha na taulo, hivi ndivyo wengi wetu tunavyo vaa tunapokwenda bafuni maeneo ya uswazi. Kuna tofauti gani mtu kuvaa taulo na kuvaa msuli?. Tena afadhali taulo ni nzito hata yule jamaa akichachamaa taulo inamtuliza, angevaa msuli?.Tuchague watu wenye maadili mema katika jamii. Huyu mtu autafuta uzee lakini anafanya mambo ya mtoto wa darasa la 3. Vipi alipokuwa chini ya umri wa sasa akili yake ilikuwaje?
Huyu jamaa aliwahi kuwa Diwani wa kata ya Mwanga Kaskazini mkoani Kigoma. Najiuliza, wananchi waliona nini cha kiuongozi toka kwa mtovu huyu wa maadili?
Kwa utovu huu wa maadili ni dhahiri kwamba huyu mtu hakustahilli hata chembe kuwa kiongozi.
View attachment 2459923
Hakuna tatizo lolote mtu kupiga picha na taulo, hivi ndivyo wengi wetu tunavyo vaa tunapokwenda bafuni maeneo ya uswazi. Kuna tofauti gani mtu kuvaa taulo na kuvaa msuli?. Tena afadhali taulo ni nzito hata yule jamaa akichachamaa taulo inamtuliza, angevaa msuli?.
P
Mbona Munyekiti yeye alipiga bapa mpaka akapiga sarakasi kwenye ngazi.
Mmh! Mkuu lakini naona huyu kavuka mipaka. Katupia selfie ya taulo mitandaoni.Hakuna tatizo lolote mtu kupiga picha na taulo, hivi ndivyo wengi wetu tunavyo vaa tunapokwenda bafuni maeneo ya uswazi. Kuna tofauti gani mtu kuvaa taulo na kuvaa msuli?. Tena afadhali taulo ni nzito hata yule jamaa akichachamaa taulo inamtuliza, angevaa msuli?.
P
Tuliwahi kuwa na waziri kichaaTanzania hata kichaa anaweza kuwa kiongozi
Wananchi walikurupuka,Tuchague watu wenye maadili mema katika jamii. Huyu mtu autafuta uzee lakini anafanya mambo ya mtoto wa darasa la 3. Vipi alipokuwa chini ya umri wa sasa akili yake ilikuwaje?
Huyu jamaa aliwahi kuwa Diwani wa kata ya Mwanga Kaskazini mkoani Kigoma. Najiuliza, wananchi waliona nini cha kiuongozi toka kwa mtovu huyu wa maadili?
Kwa utovu huu wa maadili ni dhahiri kwamba huyu mtu hakustahilli hata chembe kuwa kiongozi.
View attachment 2459923
Kama ameweuka baada ya kupata uongozi hapo tufanyeje??Utu busara ujinga hasara, Tanzania hata kichaa anaweza kuwa kiongozi
"Maendeleo hayana chama"
Sawa mkazi ya MboweHaichekeshi!
Tena walikurupuka pakubwa!Wananchi walikurupuka,
Hahaha! Unataka kusema baada ya kupata uongozi ndiyo akaanza kuvuta mibange!!??Kama ameweuka baada ya kupata uongozi hapo tufanyeje??
Mkuu wazungu kwa upande wa maadili wako hovyo sana. Ndiyo hao hao wanaoupigia chapuo ushoga pia.MKuu unamkumbuka rais wa Croatia? Anapiga picha kavaa bikini tu,
Huyo labda mkimpa tena udiwani ataacha kuvaa hivyo.
😎
Huoni huwa wanashangilia mpaka anavua shati kama wale wa la saba la zamani.Hahaha! Unataka kusema baada ya kupata uongozi ndiyo akaanza kuvuta mibange!!??