Wananchi tuwe makini tunapochagua viongozi. Huyu anayejipiga picha na taulo naye alikuwa Diwani?

[emoji23][emoji23] Ukisikia shida haina adabu ndio kama hivi ,[emoji23][emoji23]
 
Huyu ni pumbafu sana, so stupid
 
Unaijua sababu ya jiwe kumuua Ben Sa8? Jiwe ataunguzwa mpk majivu yake huko jehanamu
In reality, hujui hata unaongea kuhusu nin!.

Then you can't even prove this nonsense you wrote.
 
In reality, hujui hata unaongea kuhusu nin!.

Then you can't even prove this nonsense you wrote.
Jiwe muuaji. Hutaki?
Alimuua Ben Sa8, Azory Gwanda, Lwajabe, na watu kibao ambao maiti zao zilipatikana kwenye viroba ufukweni.

Aliwateka akina Mo, Roma, Nay wa Mitego, Tito Magoti, n.k

Alipora fedha za wafanyabiashara kibao.

Huyu jiwe hata jivu lake litaungua huko jehanamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…