Exy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 3,146
- 5,520
Jomba chuga ni Nchi sio mkoa sawa... Kama huamini njooUtanyooka tu dogo!
Wewe endelea na bango zako uone
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jomba chuga ni Nchi sio mkoa sawa... Kama huamini njooUtanyooka tu dogo!
Wewe endelea na bango zako uone
Wananchi wa Arusha wameingia mitini kumpokea RC mpya. Hii siyo Ishara nzuri kwa kiongozi anayependa kuabudiwa. Vyombo vya habari vilijiandaa kurusha live msafara wake lakini wamekwama kwa kukosekana umati.
Jambo la pili lililowaudhi wananchi wa Arusha ni kitendo cha kuwa na kiongozi anayewaza kugombana na watu kila wakati. Kila anapozungumza anaonyesha kutengeneza maadui kuliko marafiki. Huu siyo uongozi
Jambo jingine nikuchukua magari ya utalii na kuyapeleka KIA ambacho ni tafsiri ya rushwa. Haya magari kwanini wanapoteuliwa wakuu wengine wa mkoa hayalazimishwi kujitokeza kumlaki?
Mkuu wa mkoa wa Mwanza amekwenda kuripoti hakuna misafara, mkuu wa mkoa wa Mara hakuna msafara; Mongela hakuwa na misafara. Kwanini tunaamini kupanga watu kwenye msafara ndio utandaji?
Mkuu wa mkoa ni nafasi ya utumishi siyo siasa; kuchukua magari ya watu binafsi na kufanya nayo siasa ni rushwa. Kwanini tusikemee haya? Kama tunaamini ndio utaratibu basi wakuu wote wa mikoa wawe wanalazimisha misafara kila wanapokwenda tuone kama umaskini unaisha.
Viongozi wa juu jifunzeni kukemea la sivyo itanonekana kuna baraka kutoka juu
Makonda ni mshamba Wala hawezi hapa amefika.... Kama hatujampeleka mto nduruma akaogelee ohooo.. achana na wadudu asee jombii.Nyie si wadudujiandaeni kuuliwa kwa kupuliziwa dawa maalumu.
Mkandaji wenu yupo hapo chuga
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Unajitahidi kujitia moyo.
Kiboko yako yupo hapo chuga
Mmemnyosha aises watu kiduchu hivyo?Makonda ni mshamba Wala hawezi hapa amefika.... Kama hatujampeleka mto nduruma akaogelee ohooo.. achana na wadudu asee jombii.
Sema hivo sio maneno meeengiKiufupi hatuna mpango na Makonda
Hamnaga mbili huko dingi!! Pigo hizo apeleke huko Moshi kishumundu... Chato huko na mashinyanga kwa wasukuma wenzake. Wadudu tuko busy ma bike zetu na life letu.Mmemnyosha aises watu kiduchu hivyo?
Msalimie Chinga hapo golini sitting room yetu piga tatu ntakuja kulipa Mkuu..Tupo Arusha na wakati huyo mtu wenu tulikuwa hapa Picnic tutwanga maji kama kawa
🤣🤣🤣 baambiee jombaAsee jomba chuga ni wadudu hawanaga ushamba wakushobokea undezii.
ee
Acha wivu manabikoo katika hatua za mwisho kuwa mmchawiiUfyoko wacha wewe,nipo hapa Picnic njoo kama wewe huamini kuwa tupo hapa Arusha