Wewe umemaliza matatizo yako nyumbanii?
Kwanini hauna shukrani?
Marope SR
Apumzike kwa amanimiaka 15 mtu amekua mbunge, WAZIRI tena amekua karibu sana na Maraisi lakini wananchi wa jimbo la Bumbuli hawajui Lami ni kitu gani, Jimbo liko nyuma kimaendeleo utafikiri wako mwaka 1987.
Pumzika kaka January Ma-rope
Hao wananchi ni wajingaMwazahumua wedi wagosi wa JF?
Mwahumuaze wandee wose na va mame?
Na wale wengine bila Shaka mtakuwa wazima.
✍️Jimbo la BUMBULI wananchi wamefurahi January Makamba kukatwa mpaka wameamua kuchinja.
Tutaona mengi huu mwaka
Ndio kwanza intra-party nominations zimeanza.
View attachment 3423785
Sio propaganda kweli?Mwazahumua wedi wagosi wa JF?
Mwahumuaze wandee wose na va mame?
Na wale wengine bila Shaka mtakuwa wazima.
✍️Jimbo la BUMBULI wananchi wamefurahi January Makamba kukatwa mpaka wameamua kuchinja.
Tutaona mengi huu mwaka
Ndio kwanza intra-party nominations zimeanza.
View attachment 3423785
Ila uchinjani wa wanyama ni jambo la kikatili na lisilo la kiungwana hata kidogoMwazahumua wedi wagosi wa JF?
Mwahumuaze wandee wose na va mame?
Na wale wengine bila Shaka mtakuwa wazima.
✍️Jimbo la BUMBULI wananchi wamefurahi January Makamba kukatwa mpaka wameamua kuchinja.
Tutaona mengi huu mwaka
Ndio kwanza intra-party nominations zimeanza.
View attachment 3423785
Why mzee ?? Nko bk piaByabato kule Bukoba watu wanashangilia balaa
Si wanasema anakubalika?au hao ni wapinzani wake Kisasa?Sasa Bwana!No reforms no election.Mwazahumua wedi wagosi wa JF?
Mwahumuaze wandee wose na va mame?
Na wale wengine bila Shaka mtakuwa wazima.
✍️Jimbo la BUMBULI wananchi wamefurahi January Makamba kukatwa mpaka wameamua kuchinja.
Tutaona mengi huu mwaka
Ndio kwanza intra-party nominations zimeanza.
View attachment 3423785
Inafurahisha sana. Masikini wanashangilia anguko la tajiri ambae ataendelea kula kuku kwa mrija huku wao wakiendelea kushindia mihogo na kumnufaisha huyo tajiri mwingine atakae kuja.Mwazahumua wedi wagosi wa JF?
Mwahumuaze wandee wose na va mame?
Na wale wengine bila Shaka mtakuwa wazima.
✍️Jimbo la BUMBULI wananchi wamefurahi January Makamba kukatwa mpaka wameamua kuchinja.
Tutaona mengi huu mwaka
Ndio kwanza intra-party nominations zimeanza.
View attachment 3423785
Mgosi wa ndima!Ww utakuwa mgosi wa kaya
Kwei kabisa
Ss NI NO REFORMS NO ELECTION NDIO DAWA PEKEE MENGINE YOTE NI UONGO NA USHENZI MTUPU.Mwazahumua wedi wagosi wa JF?