Ukimkumbuka huyo chizi jitafakari sana. Jua hutakuwa huna tofauti yoyote na LucasMtanikumbuka 😄
Ukimkumbuka huyo chizi jitafakari sana. Jua hutakuwa huna tofauti yoyote na LucasMtanikumbuka 😄
Sasa akipumzika atafanya kazi gani?miaka 15 mtu amekua mbunge, WAZIRI tena amekua karibu sana na Maraisi lakini wananchi wa jimbo la Bumbuli hawajui Lami ni kitu gani, Jimbo liko nyuma kimaendeleo utafikiri wako mwaka 1987.
Pumzika kaka January Ma-rope
Eti nyama ni mboga! Nyie Washamba(a) ushamba utawatoka lini?Balance taarifa kwa kuongea na mtu aliyepo bumbuli boss
Leo tumekula mboga (nyama). Kwetu mboga ni nyama tu zingine zunaitwa kwa majina halisi mfano maharagwe, mchicha, samaki n. k.
Ukisikia neno mboga ni synonym ya nyama
Kuna Chama na kuna Mtu....CCM mapema sana.!Hizi si video za kutengenezwa na akili mnemba bali ni halisi.. Na hawa si wananchi wa kuandaliwa ili wafurahie bali unaweza kuona walikuwa wamekaa na maumivu mengi kwa muda gani..
JM amekuwa kwenye nafasi za juu serikalini tangu enzi za JK, amekuwa na ushawishi wake na ndoto zake... Amekuwa na mitandao yake na watu wake
Kuanguka/kuangushwa kwake kwenye kura za maoni kinyang'anyiro cha ubunge sio fedheha kwake tuu bali ni wake up call kDa chama cake kujitafakari kama kitaweza kufanya hivyo
Imagine kama wapiga kura wake wamelipuka kwa shangwe jamaa kuanguka, vipi kwa watanganyika wengine!
Je ni wangapi huko kwingine waliopitishwa kwa mabavu na wapiga kura wao wanaugulia maumivu ya kimya?
Miezi michache iliyopita mkuu wake kazini alifunga safari na msafara mzima hadi Jimboni Bumbuli kwenda kumsamehe JM... Hii ilileta ukakasi mkubwa kwakuwa mwenye kosa ndio huenda kuomba msamaha na si kufuatwa! Kumbukeni ya Nape Nnauye!
Leo mtu uliyemfungia safari kwenda kumsamehe kaanguka wananchi wamelipuka kwa shangwe mpaka kuchinja ng'ombe hata wewe tambua hauko salama!
Wamesikika wananchi wakisema hatimaye DALALI WA BUMBULI kadondoka.. Maneno hayo pia ni wake up call kwa level ya kitaifa.. Ni muhimu sana kujitafakari.. Ni muhimu sana kusikiliza sauti za wananchi
Kaanguka JM lakini anguko lake linaweza kuathiri uimara wa mbuyu pakubwa sana.. Na kujikuta nao unaanguka kwa pigo moja tuu
Tunywe supu ya shangwe dalali kadondoka!View attachment 3423797
Ndio nature how it's workIla uchinjani wa wanyama ni jambo la kikatili na lisilo la kiungwana hata kidogo
Kiluwa alifanyiwa Fujo Sana wakati wa kuchukua form. Yani nkondo ni nkondo Hadi huruma. Ndo maana Leo wagosi wa milimani wana furaha
Hivi walitofautiana wapi na bi mkubwa?Hizi si video za kutengenezwa na akili mnemba bali ni halisi.. Na hawa si wananchi wa kuandaliwa ili wafurahie bali unaweza kuona walikuwa wamekaa na maumivu mengi kwa muda gani..
JM amekuwa kwenye nafasi za juu serikalini tangu enzi za JK, amekuwa na ushawishi wake na ndoto zake... Amekuwa na mitandao yake na watu wake
Ishu ya upigaji Tanesco na kuutaka uraisHivi walitofautiana wapi na bi mkubwa?
Pole sana januaryKuna watu hua wanawalaumu wazungu kwa ubaguzi na roho mbaya, ila Mimi naamini mtu mweusi afu maskini ni mtu namba moja mwenye chuki, wivu, husda, roho mbaya, uchoyo na mbaguzi sana. Kuna jamaa aliwahi kuleta uzi humu kua mtu maskini sio wa kumhurumia watu walimmind sana ila alikua sahihi 300%. Mimi sio mwanasiasa, sio shabiki wa siasa na sipendi siasa hasa ya Africa maana inatumika ovyo sana kuharibu maisha ya watu na uchumi wa nchi zetu. Tukirudi kwa hao jamaa wanaotoka Jimbo la huyo Makamba hicho walichofanya ni sifa namba moja ya mtu maskini na mweusi, kufrahia anguko la aliemzidi kila kitu. Kuna viongozi mafisadi kibao nchini mwetu ambao wanatakiwa kua jela na sio kufrahia huyo jamaa jina lake kutopita. Hao wapuuzi kesho wakishashiba iyo supu wanaendelea na maisha yao ya dhiki na kuendelea kujifariji na hata siku moja hawatafikia maisha ya huyo aloanguka ubunge. Ni ngumu sana nchi yenye viumbe wenye akili za namna hii kupata maendeleo. Tuna sehemu nyingi sana za kuchallenge kuhusu siasa mbovu za nchi yetu, sera mbovu za kiuchumi, ubovu wa sheria zetu, ukosefu wa utawala bora na mambo mengine kibao, leo hii mtu anachinja ng'ombe kwasababu tu kiongozi anaemchukia amekufa ama amepoteza nafasi yake ya uongozi..Pathetic!!!!
Nakumbuka ile ishu ya software ya India kwa Tanesco, ila hii ya kumkata mbona italeta uhasama kati ya hizi familia, yaani ya Makamba na kikwete?Ishu ya upigaji Tanesco na kuutaka urais
Hivi sasa Ndo ufitina uliotamalaki nchini wa kusherehekea anguko la mafanikio ya mtu. Na hili litatutafuna miaka nenda rudi huku wenzetu majirani wakisonga mbele!!Mwazahumua wedi wagosi wa JF?
Mwahumuaze wandee wose na va mame?
Na wale wengine bila Shaka mtakuwa wazima.
✍️Jimbo la BUMBULI wananchi wamefurahi January Makamba kukatwa mpaka wameamua kuchinja.
Tutaona mengi huu mwaka
Ndio kwanza intra-party nominations zimeanza.
View attachment 3423785
WAHAYA WANAPENDA SANA DEMOKRASIA TUWAOMBEEHata Bukoba Leo ni sherehe kubwa sana
DuhKiluwa alifanyiwa Fujo Sana wakati wa kuchukua form. Yani nkondo ni nkondo Hadi huruma. Ndo maana Leo wagosi wa milimani wana furaha