GE2025 Wananchi wa Bumbuli wachinja ng'ombe kusherehea January Makamba kukatwa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Malofa katika ubora wao!
January tajiri tayari na ana maisha hao wavaa viraka hawamjui mbaya wao!
 
Mwazahumua wedi wagosi wa JF?

Mwahumuaze wandee wose na va mame?

Na wale wengine bila Shaka mtakuwa wazima.

✍️Jimbo la BUMBULI wananchi wamefurahi January Makamba kukatwa mpaka wameamua kuchinja.
Tutaona mengi huu mwaka

Ndio kwanza intra-party nominations zimeanza.

View attachment 3423785
😂😂😂😂😂💔
 
Hicho ni Kisambaa cha mchongo. 😂hata google hakipo
 
Mi huwa nashangaa sana! Unakulaje mshahara Bure bila kufanya kazi comrade!!?
Comrade kazi ya Mbunge nafikiri unaijua vizuri sana kama serikali haijamua hakuna jimbo linaweza kupata maendeleo mbunge hana huwezo wa kuleta maendeleo trust me kama serikali haijamua hao wanaoshangilia baada ya miaka mitano kupita ya mbunge mwingine unaweza kukuta matatizo ni yale yale Mfano Nyamagana mwanza kuna tatizo la Maji Kata ya Buohongwa, Buguku, Lwanima, Nyakagwe maji kutoka ni mara mbili kwa wiki toka miaka hiyo Aya wamepita wabunge wangapi?
 
Ingekuwa vizuri kama wangekatwa wote ambao hawana mchango hata wa mawazo Bungeni

Wengine wamebebwa ila hawana mda na wananchi wao
 
Siku Mungu akiamua kuwachukua bibi chaudere na mr cheka cheka kila kona ya nchi hali itakua hivyo
Hakika. Hiyo siku nitakula kitimoto na peps
Asbh,supu yaani nitalala hotel Kwa siku 2 nijipe raha😂😂
 
Sasa hao wabunge wana faida gani kwa Wananchi. ??! 🤷🏿‍♂️
Mbunge hana kazi yoyote Magufuli nilikua namkubali r.i.p. Huyu mzee alitutoa usingizi sana kumbuka kwamba mkichagua upinzani sitaleta maendeleo unaweza kuona hiyo kauli kama ni mbaya lakini alikua anatukumbusha kwamba Mbunge hana kazi yoyote maendeleo yanaletwa na serikali. UBUNGE kwa Tanzania ni wakufuta ule muhimili hauna kazi unafanya zaidi ya watu kula pesa za Wananchi masikini. Mawaziri ndo wabaki nao wasitokane na Ubunge shida za Wananchi si kuna mkuu wa Mkoa mwenyekiti wa CCM mkoa na wilaya hao wanaweza kuliport matatizo ya wananchi kwa Mawaziri direct au Kwa Rais Ubunge ni Wizi huo
 
Comrade kazi ya Mbunge nafikiri unaijua vizuri sana kama serikali haijamua hakuna jimbo linaweza kupata maendeleo mbunge hana huwezo wa kuleta maendeleo trust me kama serikali haijamua hao wanaoshangilia baada ya miaka mitano kupita ya mbunge mwingine unaweza kukuta matatizo ni yale yale Mfano Nyamagana mwanza kuna tatizo la Maji Kata ya Buohongwa, Buguku, Lwanima, Nyakagwe maji kutoka ni mara mbili kwa wiki toka miaka hiyo Aya wamepita wabunge wangapi?
Okay
Lkn huyu Alikuwa mtu mkubwa , Alikuwa karibu na Marais alishindwa kuwashawishi serikali?
 
Mbunge hana kazi yoyote Magufuli nilikua namkubali r.i.p. Huyu mzee alitutoa usingizi sana kumbuka kwamba mkichagua upinzani sitaleta maendeleo unaweza kuona hiyo kauli kama ni mbaya lakini alikua anatukumbusha kwamba Mbunge hana kazi yoyote maendeleo yanaletwa na serikali. UBUNGE kwa Tanzania ni wakufuta ule muhimili hauna kazi unafanya zaidi ya watu kula pesa za Wananchi masikini. Mawaziri ndo wabaki nao wasitokane na Ubunge shida za Wananchi si kuna mkuu wa Mkoa mwenyekiti wa CCM mkoa na wilaya hao wanaweza kuliport matatizo ya wananchi kwa Mawaziri direct au Kwa Rais Ubunge ni Wizi huo
Ndo maana Mimi huwa nasema sioni sbb za kuwa na bunge, Bora lifutwe kabisa
WAKUU WA mikoa,wilaya,wakurugenzi wanatosha sn
 
Okay
Lkn huyu Alikuwa mtu mkubwa , Alikuwa karibu na Marais alishindwa kuwashawishi serikali?
Ushawishi mnauona huku nje ndani huwezi kujua Unafikiri miaka yote January hajawai kuzungumzia hizo kelo za barabara Bungeni? You never know kwamba waligoma kupeleka maendeleo kule ije kua fimbo ya kumzuia na Mbio za Urais siasa ni hesabu kali
 
Ushawishi mnauona huku nje ndani huwezi Unafikiri miaka yote January hajawai kuzungumzia hizo kelo za barabara Bungeni? You never know kwamba waligoma kupeleka maendeleo kule ije kua fimbo ya kumzuia na Mbio za Urais siasa ni hesabu kali
Ila huu ni upuuzi,ndo maana nawapenda wazungu!

Maslahi ya mtu ,wananchi hawapewi kipaumbele
Anyway ht hivyo hao waliopanga ajenda zao Wala hawatakalia hivyo viti
 
Back
Top Bottom